Msaada unahitajika

moyafricatz

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2015
Posts
2,905
Reaction score
4,948
Nna simu yangu TECNO K8,haijatumika muda mrefu kama mlezi miwili...ilikua off na betri ilizima kwa muda wote huo..
Leo imechajiwa na imewashwa na imewaka lakini imebaki kwenye logo ya tecno kwa muda wa dakika 30..ime freeze tu na haiendelei mbele.

Mwenye kujua tatizo ni nini na kipi cha kufanya aniambie.
 
Kama ina internal battery jaribu uifungue na uichomoe battery na kuirudisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…