Msaada Unahitajika

Msaada Unahitajika

Superb2014

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2017
Posts
10,096
Reaction score
8,199
Amani iwe nanyi wana JF.

Niende moja kwa moja kwenye mada, nina ndugu yangu wa Kike kwa sasa hivi ana miaka 34, miaka ya nyuma alitokea kupendwa na mwanaume mmoja, walipendana sana na lengo lao lilikuwa kuwa Mume na Mke, kwa bahati mbaya yule Mwanaume alibadilika na kuwa na tabia mbaya ambazo ilibidi huyu ndugu yangu kusitisha mahusiano nae.

Ndugu yangu huyu alimpenda sana huyu Mwanaume na kumwamini, baada ya kuachana nae aliamua kuishi maisha yake peke yake hakutaka tena kuwa kwenye mahusiano na mwanaume yeyote mpaka sasa hivi ni muda mrefu. Amepata tatizo la kutokwa na Damu nyingi akiwa katika siku zake tofauti na ilivyokuwa mwanzoni, inasemekana Mwanamke asipokutana na Mwanaume kimwili kwa muda mrefu tatizo hili hujitokeza. Je kuna Dawa za kutibu hili tatizo? Madaktari na wenye kujua tatizo hili msaada unahitajika.
 
Sasa na yeye huo utamu anakaa nao mda wote mpaka mzinga umenza kumwaga asali kwa nini tena? Mwambie atafute hata kibenten cha kulina hiyo asali
 
Aliogopa kuumizwa tena.
 
Hilo jambo halina uhusiano na sex, nenda na mgonjwa hospitali achunguzwe kujua nn kinasababisha.
Kuna mambo kazaa husababisha
1.uterine fibroid-uvimbe kwenye kizazi
2.cervical cancer- kansa ya kizazi
3.uterine hyperplasia/ cancer
4.AUB

Kama unaona mambo mengi kwa hio , huwezi pata jibu la moja kwa moja hapa.
 
Kwani baada ya tendo hilo la menopause huwa anapata maumivu?😎
 
Wee kama tatizo hilo linachangiwa na kutokufanya mapenzi kwa mda mrefu siumuambie ajiachie ili apone?sasa wee unataka sisi tumshauri nini zaidi ya hilo
 
Back
Top Bottom