madia madia
JF-Expert Member
- Sep 30, 2017
- 717
- 703
Na wewe unaweza kuingia huko. Kama mwislam dumu katika Dua hasa Ayatul Qursiyu hawatakuja wala kukudhuru. Kama mkristo PIGA kwa imani Yako. Huo ni ushirikina 100% katika imani za dini. WasalamHabari zenu wakuu.
Nikimbie moja kwa moja kwa Tatizo langu, Kama nilivyotanguliza kwenye kichwa cha habari kuwa niahitaji msaada wa kiimani nadhani nitaeleweka vizuri na wale ambao tunatofautiana imani ili kuepusha lugha za fedhuli, Dharau, maudhi na Matusi,
Naomba kuuliza kwa wale tunaoamini kuwa uchawi na uganga vipo na vinatumiwa na wanajamii
Wakuu swali langu lipo hivi kuna madhara gani ninaweza kukutana nayo iwapo nikitengenezwa na mtaalamu kuwa na uwezo wa kuwaona wachawi wakija kuniwangia hasa mida ya usiku?
Au kuwa na uwezo wa kuwagundua mara tu nikikutana nao??
Naombeni majibu kwa wanaoamini uwepo wa vitu hivyo kama huamini tafadhari pita kushoto
jf kuna sura hapa? any way endeleaunafanana nae.
Kwani kufanana na mtu ni ugomvi?
ahsante mkuuNa wewe unaweza kuingia huko. Kama mwislam dumu katika Dua hasa Ayatul Qursiyu hawatakuja wala kukudhuru. Kama mkristo PIGA kwa imani Yako. Huo ni ushirikina 100% katika imani za dini. Wasalam
uhuu mungu wangu kumbe ni hatari hivyo....Kuna mambo matatu hadi matano yatakutokeani mojawapo. 1.unaweza kuwa mchawi 2.unaweza ukawa kichaa 3.unaweza ukafa 4.unaweza ujawa hulali 5.utaishi mateso ya shida
hahaaakabisa yan.....mana wakigundua kuwa unawaona......hautopata hata mda wa kuja kutupa mrejesho hapa......
hahaaaa jina la Beira London baby boimkuu tupeane heshima kwa panapobidi sina maana ya kuwa namdharau huyo mtu unaenifananisha nae ila najaribu kuuliza tu friendly kwenye hii post na ufananisho mkuu ustafte chuki ziszokuwa na msingi
that's true, usijaribu mkuu hao watu wanatisha, niulize mm nlichokutana nachoKuna mambo matatu hadi matano yatakutokeani mojawapo. 1.unaweza kuwa mchawi 2.unaweza ukawa kichaa 3.unaweza ukafa 4.unaweza ujawa hulali 5.utaishi mateso ya shida
Majibu mshana plzHabari zenu wakuu.
Nikimbie moja kwa moja kwa Tatizo langu, Kama nilivyotanguliza kwenye kichwa cha habari kuwa niahitaji msaada wa kiimani nadhani nitaeleweka vizuri na wale ambao tunatofautiana imani ili kuepusha lugha za fedhuli, Dharau, maudhi na Matusi,
Naomba kuuliza kwa wale tunaoamini kuwa uchawi na uganga vipo na vinatumiwa na wanajamii
Wakuu swali langu lipo hivi kuna madhara gani ninaweza kukutana nayo iwapo nikitengenezwa na mtaalamu kuwa na uwezo wa kuwaona wachawi wakija kuniwangia hasa mida ya usiku?
Au kuwa na uwezo wa kuwagundua mara tu nikikutana nao??
Naombeni majibu kwa wanaoamini uwepo wa vitu hivyo kama huamini tafadhari pita kushoto
[emoji122][emoji122][emoji122]Tafura dawa ya kuona mazuri mfano fursa za pesa ,biashara nzuri nk achana na ujinga wa kutafuta dawa za kuona wachawi haikusaidii kitu kukukwamua kwenye umaskini
Mkuu.....Naomba japo kwa uchache maana hawa jamaa wananikera sana hapa mtaani sijui waniona mi boya yaan huwa wananitesa sana hadi usku silalagi natamani niweze kuwatambua ili nije nimbananishe mmoja nimpe kiminyothat's true, usijaribu mkuu hao watu wanatisha, niulize mm nlichokutana nacho

Mweleze Mungu haya katika dua zako, utawaona katika ndoto kikubwa ni imaniMkuu.....Naomba japo kwa uchache maana hawa jamaa wananikera sana hapa mtaani sijui waniona mi boya yaan huwa wananitesa sana hadi usku silalagi natamani niweze kuwatambua ili nije nimbananishe mmoja nimpe kiminyo
ahsant mkuu ila atanisaidia niwakamate?Mweleze Mungu haya katika dua zako, utawaona katika ndoto kikubwa ni imani
Ukiwa ina inamaana hawana madhara Tena kwakoahsant mkuu ila atanisaidia niwakamate?