Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 29,750
- 41,191
Pale atakapoandika barua/ waelewane na mwajiriMshahara wa Mwezi upi ?? Huu alioufanyia kazi (March) au April ambao ataamua kuacha kazi kama mwezi kuisha
Pale atakapoandika barua/ waelewane na mwajiriMshahara wa Mwezi upi ?? Huu alioufanyia kazi (March) au April ambao ataamua kuacha kazi kama mwezi kuisha
Anaweza kuacha kazi,cha muhimu asome mkataba vizuri aangalie termination clause inasemaje.awe muwazi tu some extent.Kwa mfano kule wakimuita asaini mkataba na aoembe muda wa kuripoti atleast a month na huku awape notisi ya mwezi mmoja awafanyie kazi bure ingawa kwa mkataba wa mwaka mmoja notisi nayo inakuwa ni fupi zaidi.Cha muhimu ni yeye kujiamini na kuamini katika uamuzi wake na kuonesha maturity kwa waajri wake wote.Kila la heriMshika mawili........... Hapo lazima akubali kufanya kazi hii anayofanya Sasa maana yupo ndani ya mkataba. Kama anataka kuvunja mkataba arejee vigezo na masharti ya kazi yake Mara nyingi huwa Ni kurudisha mshahara wa miezi mitatu mbeleni wanapotafuta mbadala wake.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app