naomba mnielekeze jinsi ya kuingia jukwaa la wakubwa kuuliza si ujinga
mbali na hayo hebu nidokezeni jinsi ya kuingia jukwaa la wakubwasidhani kama una haja ya kuipeleka kule kwa wakubwa, ila ungeliweka kwa JF Doctor i think ingekuwa poa zaidi funzadume.
kuhusu huyo mdada me ningemshauri aende akaombewe kama ni mkristu lakini maana anasema amekwenda hospital bila mafanikio, otherwise nashauri atafute madaktari ambao ni proffetional kwa magonjwa ya kina mama tu i guess atapata msaada zaidi.
sidhani kama una haja ya kuipeleka kule kwa wakubwa, ila ungeliweka kwa JF Doctor i think ingekuwa poa zaidi funzadume.
kuhusu huyo mdada me ningemshauri aende akaombewe kama ni mkristu lakini maana anasema amekwenda hospital bila mafanikio, otherwise nashauri atafute madaktari ambao ni proffetional kwa magonjwa ya kina mama tu i guess atapata msaada zaidi.
mbali na hayo hebu nidokezeni jinsi ya kuingia jukwaa la wakubwa
:becky::becky: ingawa umenitusi ila nimejikuta nacheka lol ungejua nilivyo mzee mpaka nina mvi kwenye nywele za siri:becky::becky:Jukwaa la wakubwa ni la wakubwa tu. Ukishakuwa hutahitaji kuelekezwa utajua tu namna ya kuingia. Subiri kwanza ukuwe dogo, usikimbilie mambo ya wakubwa. Tumeelewana eeh
Teh, nakushauri mlete kwangu, kuna cream moja huwa natumia kupambana na hali kama hizo zinaponikuta. Chek wit me +255772285787. Lazima tusaidiane bana, but utalipia kamchango na nauli, coz hapa ni Kisiwa Panza, na ni lazima nimwingizie hiyo cream mimi, comprende?:becky:

ushauri mzuri kuna daktari alimshauri kuhusu vyakula na kunywa maji mengi ameshaenda kwa wataalam wa magnjwa ya wanawake pale muhimbili na wamemwambia hana tatizo na wengine walimwambia kuwa akishazaa inaweza kuisha hiyo halihapo kaka unataka tu umuone demu yukoje and if posible upate uroda wa bure,may u r soul be cleaned by the almighty,
dawa yake ni kuosha **** mara kwa mara,na pia awe anakula vitunguu swaumu asubuhi na jioni,it seems body fluids haziko sawa,kitunguu swaumu huwa kinasaidia (nimeskia/kusoma this)pia aangalie aina ya vyakula anavyokula