Msaada unahitajika haraka au ndoa inavunjika

Msaada unahitajika haraka au ndoa inavunjika

Hapana mie nilitumiwa kwenye group kosa langu ni kuifoward kwa MTU mwengine... Nilikiri kosa ila yeye mpaka wakwe zake kawambia...kua mie naangalia x...sasa hapo ni sawa LIon?
Ofcourse hajafanya vizuri kusambaza mambo yanayotokea ndani, alipasa atulie na wewe myamalize . Jaribu kukaa naye inaonesha ana wivu sana juu yako na hakuamini kwa namna fulani kutokana na mambo anayokutana nayo kwenye simu yako
Pia jitahidi kuepuka mambo yanayomkera mwenzako mfano kuchati sana na watu wa jinsia tofauti , pia hicho kitendo cha kushare porn kwenye magroup hakifai kabisa mkuu , ukizingatia wewe ni baba wa familia. mie enzi zangu nilikuwa nikitamani kuangalia porn naingia online na stream, huwezi kuta nimedownload kwenye device yangu wala kushare na mtu. CONFIDENCE, SELF RESPECT, RESPONSIBILITY, LOYALTY ndio sifa za real GENTLEMAN so act like one.
 
Hebu twende polepole kwanza!
Kwanini wewe utume na uwatumie jamaa zako picha za X kwenye simu yako? Wewe si umeoa?!, sasa kwenye hayo mapicha unatafuta nini? Kama ulikuwa bado unataka kuangalia hayo mapicha kwanini ulikimbilia kuoa? Kwani wewe ukigundua kuwa mkeo anatumiwa au anatuma mapicha ya X kwa wengine utaridhika? Yaani ufanye wewe iwe sawa, lakini akifanya yeye si sawa!, kisa wewe ni mwanaume?! Unamlaumu mkeo kwa kutuma picha za X kwa ndugu zako, let's say ni sawa kwamba ni kitu kitu kibaya! Lakini asingezikuta hizo picha kwenye simu yako angekuwa na cha kutuma!!?? Kwa hiyo yote haya ni wewe uliyeyasababisha, usingekuwa na hizo picha kesi ya kukulaumu au hata ya kutuma kwa ndugu isingekuwepo.

Unaogopa nini mkeo akiangalia simu yako? unaficha nini ambacho hutaki mkeo akione? Kama umeoa na mkeo unampenda, basi ishi kama mwanandoa, kubali matokeo kwamba kuna baadhi ya mambo au uhuru fulani hautaupata kama ilivyokuwa zamani ulipokuwa bachelor. Lakini huwezi kuishi maisha ya aina mbili, kwamba nusu kama mtu uliyeoa, na nusu kama mtu ambaye hajaoa - haiwezekani, na bado unataka mkeo aishi kama mwanandoa aliye mkamilifu ila wewe uishi nusu nusu. Hata kama gia yako ni kutaka kumwacha mkeo sawa, mwache lakini tambua utaacha wangapi? Halafu si umesema unampenda mkeo, sasa unamuacha kwasababu gani? Huyo mwingine una hakika gani kama hataruhusu uwe unatuma x kwa wengine?

Jifunze jinsi ya kukabiliana na hizo changamoto, hayo ndio maisha ya ndoa, unajifunza mwenzako hapendi nini una cope na maisha yanaenda, kwani wewe ni mkamilifu? hakuna vitu mwenzako anakulalamikia kama mapungufu kwako? kwa hiyo na yeye aende Jamiiforum kulalamika kama wewe? Ndoa ni kukutana na milima na mabonde, na ukishavuka, unaangalia nyuma unaona fahari kwamba nimepita kikwazo hiki kigumu. Hili likipita baada ya miezi/miaka kadhaa utajikuta siku moja unasema; "Mimi na mke wangu tumepitia wakati mgumu, tumepambana sana, na sasa tunasonga mbele.
Hasara na athari za kumuacha mkeo ni kubwa na nyingi kuliko faida tele za kubaki na mkeo na mwanao. Fikiria athari atakazopata mtoto wako na mkeo na mama yako ambaye anaelewana na mkeo. Rudi kwa mkeo muombe msamaha na kisha uendelee na maisha. Acha utoto, yakizidi omba ushauri kwa wazoefu, tutakusaidia.
 
Ofcourse hajafanya vizuri kusambaza mambo yanayotokea ndani, alipasa atulie na wewe myamalize . Jaribu kukaa naye inaonesha ana wivu sana juu yako na hakuamini kwa namna fulani kutokana na mambo anayokutana nayo kwenye simu yako
Pia jitahidi kuepuka mambo yanayomkera mwenzako mfano kuchati sana na watu wa jinsia tofauti , pia hicho kitendo cha kushare porn kwenye magroup hakifai kabisa mkuu , ukizingatia wewe ni baba wa familia. mie enzi zangu nilikuwa nikitamani kuangalia porn naingia online na stream, huwezi kuta nimedownload kwenye device yangu wala kushare na mtu. CONFIDENCE, SELF RESPECT, RESPONSIBILITY, LOYALTY ndio sifa za real GENTLEMAN so act like one.
Nimekuelewa mkuu...thanks
 
Mkuu uyo mkeo anakujaribu sasa muonyeshe kama wewe hujaribiwi kwa kumpa hiyo taraka anayohitaji
 
Aisee jamani naomba mnisaidie ...mie na mke wangu na mtoto wetu mmoja na huyu mke wangu tunapendana na kuahidiana mapenzi ya dhati cha ajabu.. Tunaweza tukawa tupo kwenye furaha mfulilizo...mpaka watu mtaani wanatumaind the way tunavyopendana... Sasa ikitokea tu kukorofishana kidogo wife ye hudai taraka.. Na siku nyengine hua anachukua cm yangu kwa siri halafu huanza kuchati na watu ambao anahisi yeye mie wapenzi wangu yaani akiona SMS hata imeandikwa""sawa wangu""..mitusi atakayopata huyo MTU si yanchi hii
Baya zaidi hua ananichunia sana akinuna atakaa hata siku 3 bila ya mawasiliano mazuri...hivi juzi kakuta nimetumiwa x kwenye group...na Mimi nikaifoward kwa MTU mwengine weeee....hadi wazazi wangu waliju kua naagalia x.. Sasa hii tabia nahisi ka inanichosha...mpaka naandika Uzi huu tayari ashadivert simu yangu...
Nahitaji jinsi ya kuiondoa hiyo divertion pia nahitaji nini cha kufanya ili amani itawale???
huyo mkeo ana wivu uliopitiliza ambao mda aote akiona unaongea na mtu anahisi ni mwanamke wa nje
Aisee jamani naomba mnisaidie ...mie na mke wangu na mtoto wetu mmoja na huyu mke wangu tunapendana na kuahidiana mapenzi ya dhati cha ajabu.. Tunaweza tukawa tupo kwenye furaha mfulilizo...mpaka watu mtaani wanatumaind the way tunavyopendana... Sasa ikitokea tu kukorofishana kidogo wife ye hudai taraka.. Na siku nyengine hua anachukua cm yangu kwa siri halafu huanza kuchati na watu ambao anahisi yeye mie wapenzi wangu yaani akiona SMS hata imeandikwa""sawa wangu""..mitusi atakayopata huyo MTU si yanchi hii
Baya zaidi hua ananichunia sana akinuna atakaa hata siku 3 bila ya mawasiliano mazuri...hivi juzi kakuta nimetumiwa x kwenye group...na Mimi nikaifoward kwa MTU mwengine weeee....hadi wazazi wangu waliju kua naagalia x.. Sasa hii tabia nahisi ka inanichosha...mpaka naandika Uzi huu tayari ashadivert simu yangu...
Nahitaji jinsi ya kuiondoa hiyo divertion pia nahitaji nini cha kufanya ili amani itawale???
mkeo anakupenda sana hali inayompelekea awe na wivu uliopitiliza inayomfanya hata ukiongea na cm anahisi yy anaibiwa hivyo akijua mwanamke wa nje na halafu kuondoa dirvet ili cm ziingiie kwako nenda call setring then call dirvet or call forwarding then clear all dirvet
 
Nenda kanisani kama mkristo au msikitini kama Muislamu,waeleze viongozi wako wa dini wakusaidie,ila na wewe omba kwa Mungu wako ili akuepushie hayo majanga maana shetani naona tayari ameshabisha hodi kwenye ndoa yako..
hapo ndo unamkaribisha ibilisi mkuuu....ndoa ni ya watu wawili tuuu...wa 3 shetani.....hao nao binadamu wana yao.....mkishindwa nyie wawili its ovaaaaa....sheet
 
Yaan jaby hizo ndio ishu zake...hivyo hivyo...halafu anachojivunia kua home kwa wazazi wangu wanamkubali aisee...Bimkubwa akisikia tu nimekorofishana nae hua haniulizi ananilaumu tuu....sasa nahisi nimpe likizo ndogo kwanza
Daaaah anabahati hakuolewa na Mimi, nisivyopenda kufuatiliwa simu yng, mapeeeema angekuwa kwao. Au na wewe ashakuona umemfia sanaaa!!
 
Back
Top Bottom