halloperidon
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 2,101
- 5,266
Na wewe kwann uangalie X wakati utamu unao ndani
Pole mkuu,
kuna mambo yanakera mi nahc nikioa nikishajenga nachimba kaburi mapemaa kurahishiana kaz mana kwa mambo hz kuna mmoja lazma atatangulia.




Nashukuru wagabuli kwa ushauri wako...nitazungumza na Dada yake mkubwa...huezi amini nilikua sina kabisa wazo hiloPole sana!
Mkeo ana wivu wa kijinga sana ambao una dalili za kuwa ukichaa. Kuchukua simu yako na kuwatukana watu asiowajua ni kukutia aibu na kukudharirisha, na kuna siku inaweza kukuletea kesi kubwa tu, rejea makosa ya mtandao.Kutuma clip ya x hadi kwa wazazi wako u ujinga uliopita kipimo, na nikusifu kwa uvumilivu wako!! Kama ana shangazi au dada zake wakubwa waombe wazungumze naye na kumuonya. na ukumbuke mara nyingi watu wa aina ya mkeo wana mambo yao ya siri hivyo muda wote hufikiri anayoyafanya na wewe unafanya, mchunguze pia!! akishindwa kujirekebisha mrudishe kwao kwa muda wakati ukitafakari!!
Nashukuru kwa ushauri...na kuhusu kuoana,,ni idea yake na nimemuoa kwa kweli hatuna shida sana zaidi nilizozitaja hapo juu...kinachoniuma ni kutonishirikisha kwa kitu ambacho ameona sio sawa yeye kukimbilia kwa wazazi maana anajua wana!kubali sana mke wanguKaa utathmini tatizo lilipo myamalize ikishindikana, chungza pindi mlipoahidiana kuoana au ulipoamua kumuoa mazingira yalikwaje (upendo wa kulazimisha, upendo wa upande mmoja au upendo wa aina gani) usipopata jibu angalia ustarabu mwingine maana matusi kwenye ndoa, kejeli na makwazo huwa yanasababisha mengi na hata ulemavu kitu ambacho hukuwa nacho fikiria mara mbili, kama alikuwa rizki yako atatulia tu kama ulikuwa rizki yake utatulia si vinginevyo ni kuumizana. angalia magonjwa mengi kwa wanandoa ni presha, magonjwa ya moyo, vidonda vya tumbo, kuumizana mkiwa mnagombana... omba yasikufikie ni hatari sana
Hapana mie nilitumiwa kwenye group kosa langu ni kuifoward kwa MTU mwengine... Nilikiri kosa ila yeye mpaka wakwe zake kawambia...kua mie naangalia x...sasa hapo ni sawa LIon?Mzee kwanin unaangalia Porn na huku umeoa?
Kaa utathmini tatizo lilipo myamalize ikishindikana, chungza pindi mlipoahidiana kuoana au ulipoamua kumuoa mazingira yalikwaje (upendo wa kulazimisha, upendo wa upande mmoja au upendo wa aina gani) usipopata jibu angalia ustarabu mwingine maana matusi kwenye ndoa, kejeli na makwazo huwa yanasababisha mengi na hata ulemavu kitu ambacho hukuwa nacho fikiria mara mbili, kama alikuwa rizki yako atatulia tu kama ulikuwa rizki yake utatulia si vinginevyo ni kuumizana. angalia magonjwa mengi kwa wanandoa ni presha, magonjwa ya moyo, vidonda vya tumbo, kuumizana mkiwa mnagombana... omba yasikufikie ni hatari sana
Nenda polisiAisee jamani naomba mnisaidie ...mie na mke wangu na mtoto wetu mmoja na huyu mke wangu tunapendana na kuahidiana mapenzi ya dhati cha ajabu.. Tunaweza tukawa tupo kwenye furaha mfulilizo...mpaka watu mtaani wanatumaind the way tunavyopendana... Sasa ikitokea tu kukorofishana kidogo wife ye hudai taraka.. Na siku nyengine hua anachukua cm yangu kwa siri halafu huanza kuchati na watu ambao anahisi yeye mie wapenzi wangu yaani akiona SMS hata imeandikwa""sawa wangu""..mitusi atakayopata huyo MTU si yanchi hii
Baya zaidi hua ananichunia sana akinuna atakaa hata siku 3 bila ya mawasiliano mazuri...hivi juzi kakuta nimetumiwa x kwenye group...na Mimi nikaifoward kwa MTU mwengine weeee....hadi wazazi wangu waliju kua naagalia x.. Sasa hii tabia nahisi ka inanichosha...mpaka naandika Uzi huu tayari ashadivert simu yangu...
Nahitaji jinsi ya kuiondoa hiyo divertion pia nahitaji nini cha kufanya ili amani itawale???