Msaada: Ulipo Ubalozi wa Mexico Nchini Tanzania

Msaada: Ulipo Ubalozi wa Mexico Nchini Tanzania

Tembele

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2011
Posts
1,155
Reaction score
351
Habari za leo,

Naomba Msaada wa kuelekezwa mahali ulipo ubalozi wa Mexico Nchini Tanzania.

Kuna mdogo wangu kapata nafasi ya kwenda Mexico kwa ajili ya kongamano na anahitaji kwenda katika ubalozi wa Mexico nchini Tanzania ili kujua taratibu za kupata Visa.

Nimejaribu ku google ila sijafanikiwa.

Shukrani.
 
Mexico wana ubalozi Nairobi - Kenya.
Nadhani wao wanashughulikia Afrika Mashariki yote.

Wapigie +254 204182850
 
Mkuu Ubalozi wao upo Kenya kwa Afrika Mashariki yote
 
Back
Top Bottom