Nasemajeeeee: KUFIKWA KUSKIE KWA JIRANI TU, MUOMBE SANA MUNGU AKUEPUSHIE MATATIZO
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kwa muda mchache tu binadamu tumeumbwa kusahau baada ya muda. Jipe mudaMengine yanaumiza hadi unaona yanasimamisha mda ambao ni tiba. Asante mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pole sana mkuu ila onyo usiende kwa mwamposa
Tell your mamaHabari za jumapili wapendwa.
Naombeni msaada hapa ;
Kuna ile hali mtu unajikuta una kitu kinakuumiza moyo unatamani upate hata mtu mmoja umwambie akuelewe angalau u feel ok, but ukiangalia kushoto kulia mbele nyuma huoni sio ndugu sio rafiki.
Unamwambia hata mpenzi wako unahisi utapata faraja naye unakuta hajal, unaamua kukaa nayo tu moyoni, kujifariji kuwa utakuwa sawa, nje unajifanya upo sawa ila ndani unaugua haswaa.
Ulifanyaje ulipokuwa na hii hali?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ni kwenda kukanyaga mafuta kwa Mwamposa tuHabari za jumapili wapendwa.
Naombeni msaada hapa ;
Kuna ile hali mtu unajikuta una kitu kinakuumiza moyo unatamani upate hata mtu mmoja umwambie akuelewe angalau u feel ok, but ukiangalia kushoto kulia mbele nyuma huoni sio ndugu sio rafiki.
Unamwambia hata mpenzi wako unahisi utapata faraja naye unakuta hajal, unaamua kukaa nayo tu moyoni, kujifariji kuwa utakuwa sawa, nje unajifanya upo sawa ila ndani unaugua haswaa.
Ulifanyaje ulipokuwa na hii hali?
Sent using Jamii Forums mobile app
Binadamu ni watu hatari sana, usipomuamini yeyote utaepuka hali kama hiyo. Hakikisha unaepuka kuamini watu, kwasasa jaribu kumtafuta mzee mbali na unapoishi, ikibiti Mkoa mwingine na umwambie kila kitu, pia fanya ibada ya kutosha, uongea na Mungu wako hasa usiku. Pambana sana na Maisha kwani ndio njia pekee ya kuthaminiwa na ndugu, jamaa na marafiki. Kuwa mbinafsi wa mambo yako hata kama huwezi, usimwamini mtu hata kama kakuzaa. Dunia imejaa siri kubwa sana kama ulikuwa hujui. Mimi nimepitia mengi sana ingawa nipo under 40's years of age. Simuamini mwanadamu kwa 100%.
Muda utafika yataisha hayo mambo ila jifunze kuwa binadamu hawatabiriki.
Sent using Jamii Forums mobile app
next time, twende wote. You won't cry i promise!nalia kwanza mpaka simanzi iishe halafu naenda sehemu nzuri hasa Sea cliff nakaa pale natafakari maisha yalivyo mazuri. basi nikienda several times baada ya muda inaisha
Sent using Jamii Forums mobile app