Msaada; Ulifanyaje kuvuka hii hali?

Andika hapa kinachokutatiza utapata kitu na utaondokewa na hiyo hali kwa faraja na ushauri utakao pata hapa, wengi wamesaidika hapa jamvini.
 
Kuna wakati unapaswa ujifunze kusimama mwenyewe, si kila jambo linalokusumbua lazma umpate mtu wa kumshirikisha.
 
Yeah mm naelewa hio hali, kuna mda unafikwa na jambo unataka mambo yaende sawa ila unaona bonge la giza mbeleni, but tatizo kuliexpress hilo jambo inakua hujui uliexpress vp, only Muumba wako ndio anajua ni kipi kinakusumbua wallah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Andika hapa kinachokutatiza utapata kitu na utaondokewa na hiyo hali kwa faraja na ushauri utakao pata hapa, wengi wamesaidika hapa jamvini.
Ni kweli mimi nilifaidika hapa, kuna siku moyo ulikuwa unataka kusimama nikafarijiwa na watu wema humu ndani
 
Nimekuelewa vyema sana hasa kama ni jambo linaumiza hisia zaidi,,
Binafsi mm niliongea na watu nikaona hakuna mwenye kulitilia uzito kama navyohitaji man niizidi kuumia baade nikapta semina ya kanisani siku tatu ,huko ni kusali ,kula ,kucheza , kufanya vitu vingi sana na simu unaisahau
Dah nilirudi nikiwa mpya kabisa namshukuru Mungu
Kisha nikaendelea kwenye kwenye bible studies na maombi kwa sana moyo ukawa mweupeeee mpaka leo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…