Msaada: Ulanga iko wapi?

Msaada: Ulanga iko wapi?

hivi siku hizi jiografia haifundishwi shule za msingi? wilaya kongwe iliyopo mkoa kongwe kama Morogoro mtu hawezi kuwa hajui ilipo maadamu umesoma na kuhitimu elimu ya msingi Tanzania hii.
 
Usimlaumu kailaumu CCM

SWISSME:
 
Morogoro ipo huko wanasema sijui Malinyi kufika mpaka Kivuko Nakumbuka kuna ile Kivuko iliyokuwa inavutwa na Trekta ikaja kuuwa watu.

Nenda kaitumikie Nchi.
 
Iko moro we wa katavi imeitoa wap hyo........ Ifakara najua sio ngeni masikion sasa ukifk ifakara unavuka mto kilombero then unaitafuta mahenge na ndyo ulanga yenyew inaanzia
 
Iko mkoa wa Lubumbashi inapakana na mkoa wa Kisumu kwa magharibi na mkoa wa Juba kwa kusini , mashariki inapakana na Kitwe , na magharibi inapakana na Nakuru .
 
anayetoka dar-mwanza na dar- ulanga wanafika wakati mmoja....hilo ni eneo la adhabu.ukiharibu ofisini unaenda kufichwa ulanga
 
Ulanga ipo mkoa wa morogoro, ila ni mbali kutoka morogoro mjini hadi ulanga...umbali usiopungua masaa 8 hivi, jiografia yake hufanana na mikoa ya nyanda za juu kusini kama iringa na songea
 
Iko moro we wa katavi imeitoa wap hyo........ Ifakara najua sio ngeni masikion sasa ukifk ifakara unavuka mto kilombero then unaitafuta mahenge na ndyo ulanga yenyew inaanzia

hivi siku hizi jiografia haifundishwi shule za msingi? wilaya kongwe iliyopo mkoa kongwe kama Morogoro mtu hawezi kuwa hajui ilipo maadamu umesoma na kuhitimu elimu ya msingi Tanzania hii.

Mkuu kama somo hilo la jiografia limefutwa na kuwa eti maarifa ya jamii (social study) unafikiri vijana wetu wataelewa kweli jiografia ya nchi hii na nchi za jirani?? Kweli hawa wanasiasa wanatuharibia vijana wetu
 
Tusiwalaumu sana kwa sababu jiografia ya mikoa yetu huwa inabadilika, mfano zamani mahenge enzi ya mkoloni ulikuwa mkoa na ulanga ilikuwa ndani ya huo mkoa.....
 
Kuna vitu vingine kama jiografia ya nchi yako ni muhimu kuifatilia hakuna shaka juu ya hilo
Mbona albam na nyimbo za wasanii.wanazijua sana ??
Hili latakiwa lianze na sisi wazazi ndani ya familia
 
morogoro ipo bara au pwani wasomi nipeni jibu utaje sifa za pwani na bara.
 
Kuna vitu vingine kama jiografia ya nchi yako ni muhimu kuifatilia hakuna shaka juu ya hilo
Mbona albam na nyimbo za wasanii.wanazijua sana ??
Hili latakiwa lianze na sisi wazazi ndani ya familia
Ni kweli hapo upo sahihi kabisa...inabidi tuwe update na mambo kama haya...mfano utakuta mtu hajui nchi yetu ina mikoa mingapi, ukimuuliza atakwambia 25....! Kwa hiyo muhimu kujua jiografia yetu kila wakati kama ulivyo eleza mdau mwenzangu.
 
Wilaya ya Ulanga,ipo mkoa wa Morogoro,makao makuu ya Wilaya ya Ulanga ni Mahenge.
 
Iko moro we wa katavi imeitoa wap hyo........ Ifakara najua sio ngeni masikion sasa ukifk ifakara unavuka mto kilombero then unaitafuta mahenge na ndyo ulanga yenyew inaanzia

Naongezea hapo,Ukiwa pale kivukoni Mto Kilombero,ukiwa upande huu wa Ifakara upo Wilaya ya Kilombero,ukivuka upande wa pili tayari upo Wilaya ya Ulanga.
 
Back
Top Bottom