Nawasalim wana jukwaa, Poleni na majukumu, naomba kwa anayefahamu ulipo ukumbi unaoitwa Budget maeneo ya mikocheni, anielekeze jinsi navyoweza kufika hapo, nikiwa natokea Tegeta. Nawasilisha kwenu wakuu.
Ni kweli mkuu, kuna mtu pia alisema anafahamu hii ya Bahari beach, lakn nafikiri huenda ipo na mikocheni, maana nimetumiwa sms ya interview ikinielekeza Budget Mikocheni mkuu