Naelekea Kampaka kesho bandugu. Naombeni ushauri nende na line ipi ya huku Tz ambayo nitaweza kuitumia kuwasikiana na watu wangu wa huku bika makato yoyote?.
Naomba pia kujua je vocha nitaweza kutumia za Uganda au ni mpaka ni recharge kwa kutumia vocha za huku Tz?
Je nitaweza kuunga vifurushi vya Tz? Au nitatumia vya huko Uganda?
Natanguliza shukrani
Hate me at your own risk