MSAADA UJUMBE WA unfortunately google has stopped kwenye Tecno C9

MSAADA UJUMBE WA unfortunately google has stopped kwenye Tecno C9

BABA LEA WATOTO

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2017
Posts
364
Reaction score
816
Simu imefanyiwa reset baada ya hapo inashindwa kukamilisha hatua za awali....kwanza inanitaka niunganishe Wi-Fi na nikiunganisha inafika kwenye kipengele cha kusearch updates then inalete ujumbe tajwa na kurudi mwanzo. Nimejaribu hata kufanya factory mode na ku clear data bado tatizo ni lile lile naomba kuelekezwa nini naweza fanya.
 
Hiyo ndo tecno bana hapo tafuta njia mbadala wa kuvunja muungano na hiyo sim hata ukirekebishiwa itakusumbua tu
 
Simu imefanyiwa reset baada ya hapo inashindwa kukamilisha hatua za awali....kwanza inanitaka niunganishe Wi-Fi na nikiunganisha inafika kwenye kipengele cha kusearch updates then inalete ujumbe tajwa na kurudi mwanzo. Nimejaribu hata kufanya factory mode na ku clear data bado tatizo ni lile lile naomba kuelekezwa nini naweza fanya.
Continue na ku update kwanza..Make sure una WiFi connectivity from router au hotspot jirani iwe ya simu au device nyingine
 
Pole sana mie ya kwangu inanitesa sana kwanza ukiiwasha inakaa kama dakika 20 ndio inawaka halafu syteam charge kila siku inakufa niliwahi kwenda mpk tecno kuna mdau pale akanitonya hizi simu wachina walizikosea na walitangaza mwanzoni zirudishwe ila ndio hivyo yangu mie naenda nayo hivyo hivyo mpk ife kabisa
 
Kama umefanya reset na indai ufanye update basi connect to a WiFi network Alafu run hiyo update . Kama kuna update ya firmware ipo available basi itafix hizo error messages ila kama amna updates basi inabid ufanye kuweka upya firmware which possibly inaweza kuondoa tatizo
 
Hameni huko kila siku TECNO tu nilihamia xiaom mwaka na nusu sasa sijaona hayo matatizo, tecno mara Android is starting
 
Wakuu Naingilia Thread Ya Watu
Naomba Msaada Kwenye Samsung Galaxy J5 Prime
Natumia Mtandao Wa Vodacom Ila INTERNET Ingoma Ingawa Setting Nimeweka Sasa Play Store Inafunguka Kwa Kutumia Wi Fi

Nikitumia Bundle Ingoma
 
Back
Top Bottom