Msaada-Ujenzi wa choo bora.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada-Ujenzi wa choo bora..

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mkeshahoi, Jul 3, 2012.

 1. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #1
  Jul 3, 2012
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Wadau heshima mbele..
  Kuna ndugu anahitaji kujenga choo bora pale Hedaru... kaniuliza kuhusu gharama za ujenzi na uwepo wa mafundi wazuri wanaoweza kufanya hiyo kazi....
  Nimelileta humu kwa msaaada tafadhali....
  mbarikiwe..
   
Loading...