MUSSA GUETTA
Member
- Oct 11, 2015
- 38
- 2
Jamani naomba msaada wa mawazo, nilipangwa na TCU
St Joseph bachelor of computer engineering sasa
nimefanya transfer to hubert kairuk kuchukua
medicine.
Tatizo mkopo niliopewa n wa computer engineering, naomba mnisaidie mawazo.
Je ninaweza kuappeal helsb coz ada ya MD n kubwa sana
ukilinganisha na mkopo niliopewa na MD n special
faculty.
Tafadhali mwenye ushauri.