Msaada/ufafanuzi TAFADHALI

advocate kiza

JF-Expert Member
Jan 24, 2019
261
90
Ndugu wanajukwaa habari zenu
Nimekuwa nikipitia NECTA GUIDE BOOK Mara kadhaa Ila nimeshindwa kujua tofauti kati vigezo vya kusoma certificate na diploma kwa course za art mfano Business administration, Community development n.k VIGEZO wanaonyesha ni FOUR PASSES EXCLUDING RELIGIOUS SUBJECT pia diploma wanasemaA HOLDER OF CERTIFICATE SECONDARY EDUCATION WITH FOUR PASSES 4 OR ADVANCED EDUCATION WITH AT LEAST ONE PRINCIPAL PASS
Je mwenye C-3 D-4 anaweza kusoma diploma??? Na chuo kipi??
Screenshot_20190222-192623.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wa TZ bhana! Sasa umeshandikiwa hivyo wewe unatakaje? Au mpaka uambiwe Kujiunga na Diploma mpaka uwe na Five Credits za B ndiyo ungeridhika?

Ingia kwenye Website za vyo utapata Chuo cha Kujiunga.
 
Kwa kifupi for certificate unatakiwa uwe na ufaulu wa masomo manne ingalao kwa kiwango cha D.
Kwa diploma uwe na sifa kama hizo za hapo juu PAMOJA na Basic Technician Certificate AU kwa wale waliomaliza F6 uwe na angalao Principal Pass moja.
Kuna programs wanachukua moja kwa moja F4 lakini uwe na pass zinazotakiwa. Hivyo ili kuwa na uhakika soma Admission Guide husika.
 
Shukran

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom