MSAADA: UDOM KULIPIA APPLICATIION FEE

Sir Hemedi

Senior Member
Joined
Sep 28, 2016
Posts
112
Reaction score
120
Kwa wanaofahamu ukilipia tsh 10,000/= kama pesa ya maombi UDOM inachukua muda gani hadi wao kuipokea na kuonyesha kwenye system kuwa ni paid.

Nimelipia takriban saa moja sasa, ila bado kwenye system naambiwa NOT PAID
 
Kuwa na subira nina uhakika unajua bado tuna tatizo kubwa la mawasiliano hasa ya Internet usijifanye hujui.
 
Kwa wanaofahamu ukilipia tsh 10,000/= kama pesa ya maombi UDOM inachukua muda gani hadi wao kuipokea na kuonyesha kwenye system kuwa ni paid.

Nimelipia takriban saa moja sasa, ila bado kwenye system naambiwa NOT PAID
Mkuu nahangaika jinsi ya kulipia udom,napewa control number lakin sijui namba ya kumbukumbu ni ipi,naomba msaada hapa

JE NAMBA YA KUMBUKUMBU YA KULIPIA MAOMBI UDOM NI IPI KAMA UMEPEWA CONTROL NUMBER?????
 
Hapo sasa,

Kwa maelezo ya kwenye tovuti, ni kuwa namba ya kulipia ni hiyohiyo control namba, mi nimelipia ila naambiwa bado
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…