kichakaa man
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 5,497
- 5,186
Kwa heshima kubwa kabisa naombeni msaada wenu mdogo wangu kachaguliwa kusoma architecture mwaka huu (KWA SABABU MAALUM SITAJI JINA LA CHUO) sasa kwa bahat mbaya kapata taarifa kuwa kuna mtiti sana wa physics (awal alijua ni ile ya kiolevel olevel) sasa Dogo anahofu kudisco . KASOMA HGE NA KAFAULU ANA DIVISION 1 POINT 7 NA O LEVEL ALIKUWA NA DIVISION 2 MASOMO YA SCIENCE ALIPATA PHYSCIS B NA CHEMISTRY B+ , MATHENATICS B+
DOGO ANATAKA KUHAMIA UDOM KUSOMA BACHELOR OF SCIENCE IN COMPUTER & INFORMATION SECURITY
Sasa naomben msaada wenu wa kimawazo kujua vizur hii koz katika suala zima la ajira na hata akitaka kujiari hii koz inaweza kumfaa kwel katika ushindan wa soko la ajira katika ya watu wa IT, computer science
Nisadien kupata vizur taarifa za hiz koz .
Nashukuru sana natanguliza asante