wakuu sasa naleta kwenu!!
IMENISHINDA kuichakachua modem ya tiGO Huawei e303s-1 .....naomba msaada wenu sasa maana nshatumia ujuzi wangu wote na baadhi ya ujuzi kutoka google ila badoo...modem hz mpya za tigo zina Customized firmware......msaada wakuu