ndiyo shida ya michina, waya za kubeba data zina moto wa tanescosubwoofer
ππ kwamba na mie iko siku vitaniamkia?Stabalizer unayo !
alafu sab ufa yako ni ya kichina ! maana kesi za sab ufa za kichina zinatabia ya kurudisha umeme kwenye njia ya kupokea sauti kwa waya
Kama hiyo cable yake ina fuse ibadilishe, isipowaka km ulipatiwa warranty nenda kabasilishe nyingine.Habari wakuu . Naomba ushauri wenu majuzi kati nilipata vijesent vyangu nikanunua tv ya hisense sasa nimetumia wiki mbili tu. Juzi wakati nataka kuunganisha na subwoofer nashika wire naona tv imezima ghafla nikajaribu kila njia naona haiwaki sasa wakuu naomba ushauri wenu nifanyaje.