MUBIKU
JF-Expert Member
- Oct 24, 2014
- 276
- 376
Habari za muda huu wakuu, nimepata changamoto kwenye tv yang ya LG smart tv, tangu juzi ilikuwa inawaka na kujizima yenyewe kila baada ya dk 40, nikajarbu kuangalia labda ni setting za timer, lakin setting zote ziko sawa , ikanibid nifanye factory setting.
Lakin jana ndo imezima mazima wala ile taa nyekund ya start haiwak tena , wenye ujuz na uzoefu naomben msaada wenu maana kwa hichi kipind cha lock down bila tv ni changamoto kukaa ndani.
AHSANTENI
Sent using Jamii Forums mobile app