Capacitor kwenye power supplier ina matatizo.
Pia kuna board za hizo tv zinaitwa universal zina fit katika tv nyingi za kisogo unaweza nunua na kuweka ila kuwa makini na mafundi.
Universal board for crt tvs.
Price nadhani ni kama 40k Tshs
Tatizo kubwa hapo ni capacitors zilizopo kwenye power supplier hivyo fundi anaweza kuanza pima moja baada ya nyingine akikuta mbovu anaweza replace.
Au anaweza weka board mpya.