MWAMUNU
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 870
- 531
Heshima mbele wana jamvi !!
Nina galaxy SIII nilikuwa naitumia vizuri tu ila kuanzia jana ikawa ina stack basi nikaona isiwe tabu nika reset loh !!
ile kuwaka tu inaniandikia sim network unlock pin
Mwenye maujuzi atupie hapa, nikifanikisha mtu anakula buku kadhaa through M-pesa !!