Wadau kuna haya majina kama halmashauri na manispaa. Huwa nayasikia haya maneno ila sijafahamu kwa uzuri matumizi na mipaka yake kisiasa. Tuelewesheni. Pia neno rasimu, au inawezekana kiswahili kigumu
ungeweka kwenye jukwaa la lugha hata mimi ningekusaidia kwani nia rahisi sana ......... lakini kwa kupotea jukwaa............. mmh naogopa ban.....................