Msaada tutani

Msaada tutani

obsesd

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2011
Posts
1,225
Reaction score
530
Habari wanajf!!
NI iv nina swali je kuna madhara gani ya mtu kuolewa na mwanaume ambaye labda hujampenda saana au hujampenda kabisa lakin yeye amekupenda saana? Na sio kwamba uko kifedha au ki maisha laah ni kwakuwa umpendae hakupend then akatokea anayekupenda lkn huna izo feeling nae au zipo chachee mno! kuna watu washawahi kukutwa na ili haswa?? na je mtu ukisema ukubali faida zake ni zipi na hasara zake ni zipi??
pia je ni weke majority ya watu humu dunian wameowa au wameolewa na they next best alternative lkn sio lile chaguo lao la kwanza as in labda unaempenda hakupendi ivyo yaan! kuna ukweli wowote ktk iloo...?
asanteni.
 
Kuolewa na mtu anaekupenda ndiyo mpango mzima, coz hawezi akakutenda. Cha msingi tu usimfanyie mambo ya hiana coz utamuumiza.

Yani kuliko kuolewa na mtu unaempenda wakati yeye hakupendi ni bora kuolewa na mtu usiempenda lakini yeye anakupenda kwani ukishazoeana nae utampenda tu
 
mshirikishe Mungu katika hili....na kamwe hautajutia maamuzi yako......

sisi tutakupa faida na hasara....na ukaweza kufanya maamuzi lakini uko mbeleni unaweza kujuta......
 
Lisa njoo ujibu hili swali kuna siku nishawahi kusoma maelezo yako ukitolea ufafanuzi swali mithili ya hili...
 
Last edited by a moderator:
^^
Ablessed ni mwanamke mshauri mzuri,,ngoja nikuitie
^^
 
Last edited by a moderator:
mshirikishe Mungu katika hili....na kamwe hautajutia maamuzi yako......

sisi tutakupa faida na hasara....na ukaweza kufanya maamuzi lakini uko mbeleni unaweza kujuta......

ouh asante mdau nimekuelewa saaana.
 
Bora uachane nae usimtakie mtoto wa watu matatizo bure...ina maana kama umelitambua kuwa haumpendi kivile siku ukimpata unayependana nae si utamletea stress mwenzio?its not fair kwa hiyo ndoa
 
mdogo wangu kwanza kabisa mshirikishe Mungu katika hili.

lakini tukirudi kidunia, mtu anayekuenda kwa dhati ni bora zaidi hata kama huna feelings juu yake unaweza kujifunza kumenda na mwisho wa siku ukajikuta umeweza na mkapendana akwa dhati.

ogopa sana kulazimsiha penzi kwa mtu asokupenda, hii itakuja kukugharimu furaha yako yote mbeleni. daima mwanaume akisema nakupenda na akaonyesha anakuoenda basi jua anakupenda kweli na huyu ataweza kukuvumilia kuliko yule ambaye hakupend ukamlazimisha kukupenda abadan hawez kukuvumilia na ataish akiangalia wapi umekosea apate kukusema.

mpende anayekupenda asokupenda achana nae
 
Si unajua sio kila unachokipenda lazima uwenacho, try it you will see, mahusiano ya namna hii husimama tena hudumu kwanza utakua unamjali yule anaekupenda na kuhofia kumumiza as long as hautaruhusu yule unaempenda aintafie tena maisha yako, Ila siku yule unaempenda akisema DOOM!! aaa! kam hauna msimao utayumba si alishajua unampenda
 
Hasara yake ni unaweza ukawa na hisia baridi kwake na hasa ktk tendo la ndoa, alafu ukajikuta upo ktk penzi la kinafki
 
^^
Ablessed ni mwanamke mshauri mzuri,,ngoja nikuitie
^^
Asante Himidini . Kuolewa na mtu anaekupenda sana na wewe huna feeling nae mmmh ni mateso mara nyingi mtu anaekupenda kila mara anataka awe karibu na wewe na hata kujua uko wapi na unafanya nini, umevaa nini. Hali hii yaweza kuwa kero kwako na hata kuiona ndoa chungu na kujisikia unafuatiliwa sana. Jua kwamba anaependa sana huwa ana wivu si unajua.

Kumbuka huwezi kujifunza kumpenda mtu hasa mwanandoa hilo ni kosa na wengi limewagharimu . Usiempenda ni rahisi kukerwa na mapungufu yake kwani binadamu tuna mapungufu mengi. Shida nyingine ni wewe kumtesa/kumuumiza, hii hutokea sana mtu kutake advantage na kufanya atakavyo kisa anapendwa sana . Kwa mtazamo wangu Muombe Mungu akupe mtu mtakaependana nae kwa dhati, usikate tama Mungu atakupa unaempenda na anaekupenda na kukuheshimu.
 
Last edited by a moderator:
Mhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh! Kungwi nimeingia kazini!

Ujue LOVE, HATE, DISGUST, LONELYNESS ARE ALL JUST MERE FEELINGS AND NOTHING MORE BUT FEELINGS! Its just your mind playing tricks with your head and reasoning capacity! Ukiangali kifalsafa hakuna cha zaidi ila self induced happiness and unhapiness!!!!!!!! Hii ni kwa sie philosophers wa ukwee ndo tunalijua hili.

You can only attain SELF ACTUALIZATION only if you leran to reason BEYOND FEELINGS AND EMOTIONS!!!!!!!

So the important thing is not "THE FEELINGS" you are feeling because if you ask me ALL THE FEELINGS IN THE WORLD DONT PUT FOOD ON THE TABLE!!!!!! Plus THEY AINT PERMANENT! They are just whims that pass! Kuna watu i was certain nawapenda could bet my life on them, but that was then, now THEY DISGUST ME! I can puke at just the mention of their names!!!!!! SEE! The important thing is YOUR WELFARE DEAR!!!!!!!!

DONT BET YOUR FUTURE ON FEELINGS THINS LIKE HAPPINESS, LOVE CAUSE THEY CHANGE IN A MINUTE! AND NEITHER IS A PERMANENT THING!!!!!!!!!! See beyond the ILLUSIONS AND CAMOUFLAGE!
 
mdogo wangu kwanza kabisa mshirikishe Mungu katika hili.

lakini tukirudi kidunia, mtu anayekuenda kwa dhati ni bora zaidi hata kama huna feelings juu yake unaweza kujifunza kumenda na mwisho wa siku ukajikuta umeweza na mkapendana akwa dhati.

ogopa sana kulazimsiha penzi kwa mtu asokupenda, hii itakuja kukugharimu furaha yako yote mbeleni. daima mwanaume akisema nakupenda na akaonyesha anakuoenda basi jua anakupenda kweli na huyu ataweza kukuvumilia kuliko yule ambaye hakupend ukamlazimisha kukupenda abadan hawez kukuvumilia na ataish akiangalia wapi umekosea apate kukusema.

mpende anayekupenda asokupenda achana nae

asante kwa ushauri dada.
 
Mhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh! Kungwi nimeingia kazini!

Ujue LOVE, HATE, DISGUST, LONELYNESS ARE ALL JUST MERE FEELINGS AND NOTHING MORE BUT FEELINGS! Its just your mind playing tricks with your head and reasoning capacity! Ukiangali kifalsafa hakuna cha zaidi ila self induced happiness and unhapiness!!!!!!!! Hii ni kwa sie philosophers wa ukwee ndo tunalijua hili.

You can only attain SELF ACTUALIZATION only if you leran to reason BEYOND FEELINGS AND EMOTIONS!!!!!!!

So the important thing is not "THE FEELINGS" you are feeling because if you ask me ALL THE FEELINGS IN THE WORLD DONT PUT FOOD ON THE TABLE!!!!!! Plus THEY AINT PERMANENT! They are just whims that pass! Kuna watu i was certain nawapenda could bet my life on them, but that was then, now THEY DISGUST ME! I can puke at just the mention of their names!!!!!! SEE! The important thing is YOUR WELFARE DEAR!!!!!!!!

DONT BET YOUR FUTURE ON FEELINGS THINS LIKE HAPPINESS, LOVE CAUSE THEY CHANGE IN A MINUTE! AND NEITHER IS A PERMANENT THING!!!!!!!!!! See beyond the ILLUSIONS AND CAMOUFLAGE!
i got you kungwi wewe.
 
Asante Himidini . Kuolewa na mtu anaekupenda sana na wewe huna feeling nae mmmh ni mateso mara nyingi mtu anaekupenda kila mara anataka awe karibu na wewe na hata kujua uko wapi na unafanya nini, umevaa nini. Hali hii yaweza kuwa kero kwako na hata kuiona ndoa chungu na kujisikia unafuatiliwa sana. Jua kwamba anaependa sana huwa ana wivu si unajua.

Kumbuka huwezi kujifunza kumpenda mtu hasa mwanandoa hilo ni kosa na wengi limewagharimu . Usiempenda ni rahisi kukerwa na mapungufu yake kwani binadamu tuna mapungufu mengi. Shida nyingine ni wewe kumtesa/kumuumiza, hii hutokea sana mtu kutake advantage na kufanya atakavyo kisa anapendwa sana . Kwa mtazamo wangu Muombe Mungu akupe mtu mtakaependana nae kwa dhati, usikate tama Mungu atakupa unaempenda na anaekupenda na kukuheshimu.
daah haya dada asante......!
 
Kukaa na mtu ambae haumpend kabisa ni ishu aisee bora hata ungekua na feelings nae hata kidogo.
me na maswali kidogo kama hautojal?je umewahi kupenda?kama ndio uliempenda yuko wap?
Zaid sana kwasasa piga goti chini sali sala zote ujuazo muombe Mungu akusaidia,kama huyu unayempenda ndie mume wako trust me mtaishi kwa upendo na aman tele
 
Back
Top Bottom