Uache umalaya kwanzaKuna sehemu moja nimepata kibarua, kipindi naingia kuna binti mmoja pia kaajiriwa. Hii sehem kuna nyumba kama hostel huwa wanahost wageni wakija na hizi nyumba zimejengwa kwa mfumo ambao kila nyumba ina vyumba viwili yaani kimoja nyuma na kimoja mbele. Kwa bahati nimejikuta niko nyumba moja na huyu manzi na kwasababu wote ni wageni tumeanza kuzoeana mdogomdogo. Sasa jamani nitumie mbinu gani kumtafuna huyu mtoto?
Anachokipata ndicho kinachomstahiliHivi jamaa kaomba mbinu au michambo..?????
kwani pesa ndio kifanyio?Tafuta hela kijana
Ukiwa na pesa unanunua hadi kifanyioπππkwani pesa ndio kifanyio?
Kuna sehemu moja nimepata kibarua, kipindi naingia kuna binti mmoja pia kaajiriwa. Hii sehem kuna nyumba kama hostel huwa wanahost wageni wakija na hizi nyumba zimejengwa kwa mfumo ambao kila nyumba ina vyumba viwili yaani kimoja nyuma na kimoja mbele. Kwa bahati nimejikuta niko nyumba moja na huyu manzi na kwasababu wote ni wageni tumeanza kuzoeana mdogomdogo. Sasa jamani nitumie mbinu gani kumtafuna huyu mtoto?