Msaada tutani

Singidan

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2015
Posts
878
Reaction score
945
Habari za usiku wana JF,

Wadau naombeni msaada juu ya tatizo hili, kwamba katika simu kila nikienda Google Playstore ili nii pakue Apps za Facebook, messenger ama Facebook Lite naambiwa kuwa there is a similar App. Wakati huo hakuna App ya Facebook hata moja.

Pia, nikiipakuwa moja ya App hizo pamoja na maneno hayo, ikimalizika kupakulika haikai,

Naombeni msaada nini nifanye ili nipakue hizo Apps
 
Unatumia Simu aina gani?
 
Toka playstore gusa icon ya playstore ing'ang'anie Kisha nenda/chagua force to stop Kisha restart simu yako.
Kisha leta mrejesho.

Kama itashindikana jaribu kusearch hizo app kwenye simu yako kwa kutumia search bar iliyopo upande wa app sio ile ya google. Ukiziona njoo Tena nikupe dozi nyingine mfano

 
Kuna simu kama Tecno hizo app zinakuja pre installed kwenye simu, inawezekana umezi disable ndio maana zinakataa kueka tena sababu tayari zipo kwenye simu.

Nenda setting kisha apps kwenye list ya app zote angalia kama fb ipo na kama ipo iclick kisha enable uangalie kama itasolve.
 
Hai
Haipo mkuu
 
Mkuu huo ujumbe hujauelewa, pale unapo download Facebook app, huo ujumbe unakukumbusha tu kuwa ipo Facebook lite ili uchague ipi u pakue. Sio kwamba hiyo app ipo kwenye simu yako.
Hivyo wewe endelea ku download tu app ambayo umeichagua.
Angalia picha hizi
Hapo mkuu wewe gonga INSTALL tu... Hiyo ni kama unapewa choice uchague moja wapo eidha kulingana na internal yako labda ni ndogo basi uchukue Facebook lite au messenger lite nk
 

Attachments

  • IMG_20191022_221206.jpg
    101.6 KB · Views: 11
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…