BadoNaomba kuuliza wadau...laon board washaruhusu kuapply???
Je, wewe ni mwanafunzi unayetegemea kuomba mkopo 2019/2020?safi sana kijana..... kwanini uone fursha ya pesa alafu uache iende....piga tu pesa*UHAKIKI WA VYETI VYA KUZALIWA KWA NJIA YA MTANDAO KWAAJILI YA KUOMBA MKOPO 2019/2020.*
Je, wewe ni mwanafunzi unayetegemea kuomba mkopo 2019/2020?
RITA WAMEANZA KUHAKIKI VYETI VYA KUZALIWA KWAAJILI YA KUOMBA MKOPO KWA MWAKA 2019/2020. WANAFUNZI WOTE WANATAKIWA KUHAKIKI VYETI VYAO VYA KUZALIWA MAPEMA KWAAJILI YA UOMBAJI WA MKOPO KWA MWAKA 2019/2020
*KWA WALE WOTE WANAOPATA SHIDA NAMNA YA KUHAKIKI VYETI VYAO KWA NJIA YA MTANDAO, TUNATOA HUDUMA YA KUKUSAIDIA KUHAKIKI KWA NJIA YA MTANDAO POPOTE ULIPO.*
MAHITAJI:
1. KOPI YA CHETI CHAKO CHA KUZALIWA.
2. RISITI YA MALIPO.
**KWA MAELEZO ZAIDI NA MSAADA WA UHAKIKI WASILIANA NASI KWA SIMU*
*0752026992 / 0737728947**

safi sana kijana..... kwanini uone fursha ya pesha alafu uache iende....piga tu pesa
hivi vitoto vya siku hizi ujanja mwingiiiii kuchat insta
ila ukimpa PC kufanyia mambo ya maana hawez anaishia kuangalia movie
mimi nakuomba kama ulikuwa unawachaj hela ndogo embu ongeza iwe nyingi kabisa![]()
, mkuu acha kunifurahisha, ila gharama zetu za kawaida sana mkuu, kuna watu wapo ndani huko vijijini wanapata shida hawaelewi waanzie wapi kuhusu haya mambo so kwa kufanya hivi tunawasave kwa njia hiyo mkuu.Kweli kabisa ,uku chimba unye kwa haya Mambo tuko nyuma nno,hivyo tunashukuru kwa msaada wako,,![]()
![]()
![]()
, mkuu acha kunifurahisha, ila gharama zetu za kawaida sana mkuu, kuna watu wapo ndani huko vijijini wanapata shida hawaelewi waanzie wapi kuhusu haya mambo so kwa kufanya hivi tunawasave kwa njia hiyo mkuu.
Tuko pamoja mkuu, kama utapata changamoto yoyote usisite kupiga simu au kutuma text kupata maelekezo na hata huduma ukihitaji.Kweli kabisa ,uku chimba unye kwa haya Mambo tuko nyuma nno,hivyo tunashukuru kwa msaada wako,,
Ahsante sana
Sawa Aina shida ,,Tuko pamoja mkuu, kama utapata changamoto yoyote usisite kupiga simu au kutuma text kupata maelekezo na hata huduma ukihitaji.
Sent from my E2333 using JamiiForums mobile app
RITA yule dada ake na defrosa???*UHAKIKI WA VYETI VYA KUZALIWA KWA NJIA YA MTANDAO KWAAJILI YA KUOMBA MKOPO 2019/2020.*