Dena Amsi,...nampenda huyo msichana
Na hapo ndipo penye utata,...napenda na kupendwa sana na wote wawili,..........
Humpendi nakwambia ungempenda ungemwambia mapema kabla hamjaanza mahusiano nikwambie kwa sasa anaonyesha mapenzi lakini ulishamdisapoint toka mwanzo hakuachi kwa sababu zilizonje ya uwezo wake.
Nikwambie kimoja ni afadhali nikutane na wewe uniambie kila kitu hata kama ulishaoa wanawake mia nitachuja je nikubali au nikatae sio nije kwako ndo nakuta picha za mwanamke au mtoto ndo uanze kuniambia napoteza upendo wote niliokuwa nao toka mwanzo amini amini nakwambia.
Na huyo msichana wa pili hana raha unajua anawaza kuwa aahh huyu jamaa alishazaa na mwanamke mwingine wakirudiana itakuwaje na hawakuachana kwa ugomvi???Utarudi kuniambia siku moja hapa. Ameshapoteza imani na wewe chunguza vizuri. Kama huyo dada uliyezaa nae ameamua kurudi rudiana nae kwa ushauri wangu.
MkUU,OLD IS GOLD, rudi kwa uliyezaa naye,kwanza anakupenda mpaka akaamua kurudi. usimuangushe kwa hilo, ni vema mtoto wako akalelewa na baba na mama mzazi katika malezi bora ya ndoa..huyo mwingine ni dent mwache atapata mume mwingine as long hajazaa ni rahisi kupata mchumba,
MkUU,
Ni kwamba hapo ndipo panapo nipa utata na mkanganyiko wa mawazo,ila kuhusu la huyu kuwa denti na atapata bwana mwingine ni gumu kidogo kwa jinsi navyoona maake si unajua mambo ya mapenzi i.e jinsi navyoona ni kwamba ataumia sana na ataniona mm ni muongo na msaliti,....i am ril confused.....
"If you love something/some1,set it free.If it/she/he comes back,it was,and always will be yours.If it/she/he never returns,it/she/he was never yours "..........quoted and well said
[/COLOR]
mmmmh!..........
mkuu unatema ung'eng'e tu. Lol.
Naomba tafsiri yake tafadhali
mimi mwenyewe nimechanganyikiwa na ung'eng'e.
Ha ha ha hebu sogeza kamusi hapo bana tafuta neno moja moja mpaka upate hii ni kazi ya nyumbani nakupa
jipe moyo konde rudiana na mama wa mtoto wako unajua kuna mtoto na ulishampenda sana sidhani kama inaweza kukutoka mapema, mwambie mpenzi wako wa sasa atakuelewa kama huta mficha kituMkUU,
Ni kwamba hapo ndipo panapo nipa utata na mkanganyiko wa mawazo,ila kuhusu la huyu kuwa denti na atapata bwana mwingine ni gumu kidogo kwa jinsi navyoona maake si unajua mambo ya mapenzi i.e jinsi navyoona ni kwamba ataumia sana na ataniona mm ni muongo na msaliti,....i am ril confused.....