Unaogopa kumpotezea ambae hujazaa nae muelekeo wa maisha ila huogopi kumpotezea ambae tayari ana mwanao???
Nwy inaonekana wote mlikua hamjaamua kwamba mnataka kuwa pamoja kikweli kweli maana kaka sie anaekua mume/mke mpaka mfuatishe anavyotaka wakati familia ilishakubali na kukutambua hapo mwanzo!!Siwezi kukushauri uwe na mwenye mtoto kwa kumuonea huruma ili msije mkanyanyasana baadae maana madhara ya kuwa pamoja kwa kuoneana huruma ni makubwa kwa pande zote mbili.Kwahiyo jichunguze mwenyewe bila kumuonea huruma yeyote ujue moyo wako uko wapi...linganisha sifa zao...tabia zao...mapungufu yao....mapenzi yao kwako na mapenzi yako kwao kujua yupi ungependa kufunga nae pingu za maisha!!!USIKURUPUKE usije ukaishia kusema ningejua ningejua huko mbeleni!
Lizzy umemaliza kabisa mamito, inaonyesha mwanzoni hamkuwa na uhakika kama mnataka kuishi pamoja. Ila sasa kama alivyosema lizzy jichunguze moyo wako umeelemea wapi na sio kwa vigezo labda vya uzuri, elimu, pesa n.k Jichunguze ni yupi unampenda kwa dhati hata itokee nini utakua nae bega kwa bega.
Kama bado unampenda mama mtoto wako nakushauri urudiane nae....lah hasha,muambie ukweli kwamba ulishaanza uhusiano mwingine baada ya kaka yake kugoma yeye kuolewa na wewe na kwa hatua mliyofikia huwezi muacha tena huyo dada mwingine anayesoma....nakushauri ukubali kuendelea na majukumu ya kumtunza mtoto na yeye pale inpobidi.....
Kama bado unampenda mama mtoto wako nakushauri urudiane nae....lah hasha,muambie ukweli kwamba ulishaanza uhusiano mwingine baada ya kaka yake kugoma yeye kuolewa na wewe na kwa hatua mliyofikia huwezi muacha tena huyo dada mwingine anayesoma....nakushauri ukubali kuendelea na majukumu ya kumtunza mtoto na yeye pale inpobidi.....yahitaji kutulia tu kwa muda na Mungu akusaidie kuamua lililo sahihi....ila kama alivyosema Lizzy,usiongozwe na huruma,angalia unapopenda na kupendwa zaidi.
Alikuta picha akauliza na nikamuelza ukweli kwamba ni mama mtt wangu ambaye tulitaka kuoana lakn ndugu zake wamesema hawataki abadili dini na wala aolewe na muislam_kwani ndio uhalisia wenyewe,na akaniuliza je?..ikitokea mmerudiana nikamhakikishia kua haiwezekani kwan juhudi za usuluhishi zimefanyika na kushindikana,.........Hapo kweli unahitaji msaada kwenye mteremko sio tutani.
Ningekuwa mimi ni wewe ningefanya haya:
Ooohh kabla nikuulize swali huyo mpenzi wako mpya ulimweleza kuhusu hilo??? Jibu halafu ndo nikupe ushauri
Nafikiri kati ya hao wawili utakuwa umeishajua na kusoma tabia ya kila mmoja vizuri na hapo ndipo utakapoamua ni yupi uwe nae, ANGALIZO:USIHUSISHE HURUMA KWENYE JAMBO HILI, najua ni vigumu kufanya maamuzi ila lazima mmoja wapo aumie kwa maamuzi utakayoyafanya ila cha msingi zingatia nini moyo wako unataka na nini unahitaji kwa vile tayari umeishakuwa na mahusiano na hao wawili basi tunaweza kusema unawajua vizuri. All the BestNa hapo ndipo penye utata,...napenda na kupendwa sana na wote wawili,..........
Na hapo ndipo penye utata,...napenda na kupendwa sana na wote wawili,..........
There you go, i don't know whether you made a promise to her if you did i would advice you to keep itAlikuta picha akauliza na nikamuelza ukweli kwamba ni mama mtt wangu ambaye tulitaka kuoana lakn ndugu zake wamesema hawataki abadili dini na wala aolewe na muislam_kwani ndio uhalisia wenyewe,na akaniuliza je?..ikitokea mmerudiana nikamhakikishia kua haiwezekani kwan juhudi za usuluhishi zimefanyika na kushindikana,.........
well said Michelle,
Kama ni huruma basi amuoneshe huyo aliyezaa naye, kwani huyo ndo ana chance kubwa ya future yake kuharibika kuliko huyo ambaye anasoma.. ( assumption ni kwamba mwanamke akisha zaa, uwezekano wa kuolewa na mwingine unapungua, na pia anaweza asiwe na uhuru kamili katika ndoa na mtu mwingine)
Usiache kulea mwanao, pia kama mama yake anapenda kuishi nawe, ni vyema ukaishi naye..
Kaka mtt namlea vizuri na mama yake ana-apprecite na kusema ukweli mama yake anapenda sana kuishi na mm ila kikwazo ni hicho kaka mtu amaewakonvisi ndugu zake wote wasikubaliane na suala la kubadili dini na kuolewa na mkristo
Si unajua tena mtu ukiwa na pesa kwenye familia zetu ni rahisi sana kuwaconvisi wana familia wakubaliane na matakwa yako.......thats how it is kiongozi wangu,nafikiri umenipata sasa
Then nakushauri urudiane na mama mtoto wako....against all odds,ameamua kuwa na wewe....si rahisi mwanamke kwenda against kaka yake kuwa na wewe.....heshimu hilo na mjenge maisha yenu pamoja.
Alikuta picha akauliza na nikamuelza ukweli kwamba ni mama mtt wangu ambaye tulitaka kuoana lakn ndugu zake wamesema hawataki abadili dini na wala aolewe na muislam_kwani ndio uhalisia wenyewe,na akaniuliza je?..ikitokea mmerudiana nikamhakikishia kua haiwezekani kwan juhudi za usuluhishi zimefanyika na kushindikana,.........
You have to make a decision that you wont regret it later on.Its o.k,...lakn familia imegoma _na je likitokea la kutokea ntali handle vip....maake sisi ni binadam anything can happen........sina support yeyote kutoka kwa familia yao_msimamo ni kwamba either mm nibadili din au asiolewe na mm
Na hapo ndipo penye utata,...napenda na kupendwa sana na wote wawili,..........
Alikuta picha akauliza na nikamuelza ukweli kwamba ni mama mtt wangu ambaye tulitaka kuoana lakn ndugu zake wamesema hawataki abadili dini na wala aolewe na muislam_kwani ndio uhalisia wenyewe,na akaniuliza je?..ikitokea mmerudiana nikamhakikishia kua haiwezekani kwan juhudi za usuluhishi zimefanyika na kushindikana,.........
Kaka mtt namlea vizuri na mama yake ana-apprecite na kusema ukweli mama yake anapenda sana kuishi na mm ila kikwazo ni hicho kaka mtu amaewakonvisi ndugu zake wote wasikubaliane na suala la kubadili dini na kuolewa na mkristo
Si unajua tena mtu ukiwa na pesa kwenye familia zetu ni rahisi sana kuwaconvisi wana familia wakubaliane na matakwa yako.......thats how it is kiongozi wangu,nafikiri umenipata sasa
Its o.k,...lakn familia imegoma _na je likitokea la kutokea ntali handle vip....maake sisi ni binadam anything can happen........sina support yeyote kutoka kwa familia yao_msimamo ni kwamba either mm nibadili din au asiolewe na mm
Dena Amsi,...nampenda huyo msichana