Msaada Tutani

wanjera

Member
Joined
Jul 1, 2016
Posts
72
Reaction score
25
Habarini Wana Jamvi
Naomba ushauri/maono kuhusiana na suala lifuatalo; mimi nimechaguliwa chuo kimoja hapa Zanzibar lakini kwa sababu zangu zilizo nje ya uwezo wangu nataka nibadilishe. Natakiwa kufanya process gan ili niweze kulifanikisha hilo. Natanguliza shukran zangu
 
Karipot chuon kwanza then ufanye transfer, huwa haichukui hata week moja but jiandae msoto kama unategemea mkopo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…