Msaada tutani wazee!

Eliphaz the Temanite

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2010
Posts
3,018
Reaction score
1,154
Kila nikichomeka moderm zangu kwenye Window 7 os nakutana na kitu kama hiki nataka kuki stop completely
Nifanyeje?


 
inanitokezea wakati natumia apache tomcat. Since sio error i always ignore it! Seriously watu wa IT hawajali warnings, wao siku zote wanadeal na errors.. if its working, hu gives a crap?? ( bad advice, huh?)
 
kuuliza c ujinga, ''TUTANI'' hili neno maana yake nini wakuu?
 
Kuna service inacrash kwenye computer yako, so ni vizuri ungefuata show details na view msg kujua ni service gani, ila kama unataka kuzima tu hizo msg bila kutatua tatizo pia unaweza.

Nenda start

Andika services.msc kwenye sehemu ya search.

Click services.msc



Tafuta “Interactive Services Detection” iclick kisha click kitufe cha stop.



Double click “Interactive Services Detection”, kwenye startup type weka disabled. Sasa hizo error na error zote za “Interactive Services Detection” hazitakuwa zinaonyeshwa.

Troubleshooting Interactive Services Detection - Pat's Application Compatibility Blog - Site Home - MSDN Blogs
 
Msaada Tutani inatoka kwenye daladala, Watu wanaomba kushushwa kwenye bumps (tuta) ndio msemo ukaibukia hapo!
 

Kaka nashukuru sana!
Ploblemo solved!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
inanitokezea wakati natumia apache tomcat. Since sio error i always ignore it! Seriously watu wa IT hawajali warnings, wao siku zote wanadeal na errors.. if its working, hu gives a crap?? ( bad advice, huh?)

Not a bad advice though!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…