Wana jf, naomba msaada wenu nataka kutengeneza kakitabu kadogo ambako katatumia karatasi za a5 nitumie program gani na kwa vipi naomba ufafanuzi ingalau kidogo.
Hata Ms-Word unaweza kutengeneza, ingia kwenye Ms-Word click page layout, then size chagua A5 yako halafu endelea na kazi yako ya kuchapa tayari unayo size ya A5 unayoitaka.