bachelor sugu
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 2,689
- 3,651
Naam mkuu vp mbona unanicheka????Bachelor sugu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duh aisee kumbe hiyo ndo formula..Drinki bia mkuu ili upate ndege wazuri.....wakikuona unatumia vitu vitamu wanajua wewe ni bahili
Principal BachelorBachelor sugu?😂😂😂😂
Tobaaaaaaaa umekuja kufanya nn sasa kwenye huu uzi na ww??Khaaaa wewe huyo???
Bia moja uongeza nyingine (matumizi) ila soda moja aiwezi kuongeza nyingine kwa sababu tumbo litakuwa limejaa gesi (bana matumizi).Duh aisee kumbe hiyo ndo formula..
Dah hv hawajui km kuna substitute ya biere??
Yes Icon ya mabachelor wa JFPrincipal Bachelor
Tobaaaaaaaa umekuja kufanya nn sasa kwenye huu uzi na ww??
Nyingine uwe unazipita juu juu bhana.[emoji38][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Dah aisee hiyo kitu kichwa kiliigomea mazima,anyway pamoja mkuu.Bia moja uongeza nyingine (matumizi) ila soda moja aiwezi kuongeza nyingine kwa sababu tumbo litakuwa limejaa gesi (bana matumizi).
Muone kwanza labda upo kilombero ya Mavurunza.Namimi nipo ulipo kilombero nitumie hela nikufate ulipo
Mh kila la kheri kwenye upweke au??vibaya hivyoKila la kheri
Hapana bhana kunjunjana huwa ni matokeo tu ya makubaliano hasa mtu akimuelewa mwenzieHii kamapani anayotaka ni ya kunjunjana tu
Hahahaha umeona eeeh watu wanahisi sijui nn juu ya hii id.Id inakuadhibu.