Msaada tutani ninamchumba wa kikinga

Nkinga ndilinkinga lakini ndilimboni town ndilinaredio jangu jikwimba kasongo! Mzee kama umependa oa fasta wakinga ni watu ambao wanajua kutafuta hela hakuna cha mwanaume wala mwanamke wote ni watafutaji ni watu ambao wanatabia nzuri na heshima sana kuhusu ushirikina ni makabila yote TZ, nimejaribu kuangalia historia nimegundua hawa watu ni wavumilivu sana henzi za mkoloni mkinga alikuwa akipiga mzigo kwa wakoloni kama kuchuma chai mashamba ya mkonge huko Tanga n.k lakini mhehe alikuwa na kiburi sana alikuwa hakubali kufanya kazi kwa malipo ya chini alikuwa akisema ndimgayasida yaani sina shida leo kibao kimegeuka wakinga wengi ni matajiri wanalala ndani wahehe wanalala nje kuwalinda kama walinzi, Afu wakinga wanajua bajeti akipata 2000 atakula 500 tu inayobaki bank yupo tayari kulala njaa kama hajaingiza kitu. Nakushauri uoe mkinga huyo usimwache
 
Tatizo kuna watu wanatoa masimilizi ya kijiweni wanaleta humu hivi kuna kabila gani hakuna wachawi na je ni uhakika gani mtu anaupata hadi anajiamini kusema eti kaua ndugu zake kajenga gorofa kariakoo huu ni unafiki na ni uongo niwajuavyo mimi wakinga kweli ni wachakalikaji na niwabahili sana katika matumiz na ndio mana hata huwa wanajitahidi sana kuwa na hela sikatai hata makabila mengine wapo wanga wanao ua na tunaona kila siku mara oo mtu kakamatwa na uchawi dar ma kaanguka na ungo sijui tanga mara sijui watoto wanapote dar sasa naomba niulize hawa wote ni wakinga???? Achaneni na story za vijiweni wooooooooote mnao sema wakinga wachawi nuwajuavyo mimi wengi ni wachapa kazi kama uchawi upo ni ule amba hata kabila lako wewe msomaji katika kabila lako upo ukweli bwana kaka kama umepata mke mkinga huyo oa kabisaaaaaaaa ni wavumilivu na wakarimu sana tena mno mimi nimeishi na wakinga njombe miaka kumi na tatu kweli hawa watu wachapa kazi na ni wabahili hasa kwa matumizi yasio kuwa na ulazima ninarafiki yangu mmoja mkinga ni tajiri sana pale njombe huwa naa napiga nae story sana kuhusu maisha na huwa ananiambia wengi wanafikiri mafanikio yangu ni uchawi lahasha hapa nilipo watotot wangu wooye wapo mke yupo wadogo zangu wootw wapo mama yangu tupo kimsingi anasema hawah kuhusika na kuua mtu ili apate pesa ni kuzuia matumizi yasio lazima ndo mana unaweza kukuta kijana mkinga alikuwa mmachinga baada ya muda annduka kubwa lakini ukifuatilia unaambiwa alikua anakula wali mkavu vigengen na maji tena ya bombani yaaan mwenyewe ninahakika kuwa si wanaume wala si wanawake wotw ni kazi mtindo mmoja mie mwenyewe natafuta mke wa kikinga nioe nimependa tabia zao na siwez sema uchaw haupo katika biashara hapana upo na wapo wanao utumia katika biashara lakin si kwa kiasi ambacho hao wanao ongea habari za vijiweni na kusikia mitaan wanavo dai
 
Kama ni watani zangu wakinga, wabena na wahehe, bwana mdogo " UTAKUWA NDONDOCHA". Achaaaaaaa huyo mla mbwa! Kharamuuuuu! Aha! Utani tu rafiki mi nimemwoa mbena, naenjoy life kwa sana tu. Uchawi hata INDIA upo.
 
Jamani mi ni kijana ninamiaka 30(umri)nimebahatika kupata mchumba wa kikinga,nategemea kumuoa mwakani,katikati ya mwaka,sasa naomba mniambie tamaduni zao kuhusu mahari,huwa wanahitaji nin(mnyama nk)na tamaduni zingine,ili nijipange kabisa,ila huyo bint ni mkinga(wazazi wake wamelowea mbeya) mim mwanaume ni YAHO,

moja ya mabaya yanayoongelewa kuhusu kabila hii ni hiyo tabia yao ya 'mizizioloji aka 'mitikongo'. Unakuta nyumba nzuriiiiiiiii kumbe imejengwa kwa mbavu na mafuvu ya watu tupu. Nakushauri uanze kugawa urithi wako mapemaaaaaaaaaaaa utakapokuwa umemuoa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom