Habar zenu jaman,pc yang inadownload vitu lakin kuviinstal ni shida
Na sauti ya pc yang iko chin san hata nikiongeza had mwisho..
Msaada wenu tafadhar jaman
shida kuinstall inasema je pili sauti umejaribu kuongezea kwenye control panel au kwa windows 7 click hiko kispeaker kwenye taskbar kisha speaker tena then level check kama ipo hadi 100
Habar zenu jaman,pc yang inadownload vitu lakin kuviinstal ni shida
Na sauti ya pc yang iko chin san hata nikiongeza had mwisho..
Msaada wenu tafadhar jaman