Msaada tutani nashindwa kubrows Mozilla Firefox kwenye pc

Msaada tutani nashindwa kubrows Mozilla Firefox kwenye pc

Emelamu Junia

Member
Joined
Aug 21, 2013
Posts
32
Reaction score
9
Jaman siwez kubrows kwa kutumia Mozilla Firefox.. Nikijarb inanimbia hvyo kene picha..
 

Attachments

  • 1477308053918.jpg
    1477308053918.jpg
    32 KB · Views: 41
Huwa inaboa sana hiyo kitu asee.... hamna kitu unafanya.... afu unakuta kaishu ni kadogo tu yani....
 
ukipata tatizo la https cha kwanza kabisa angalia tarehe yako ipo sawa?
Dah hii inakumbusha zaman wkt natumia Desktop ambayo inapoteza majira kila ukizima bac tatizo hilo nilikuwa nalipata, dawa yake nikuset muda/tarehe ikae sawa tu.
 
Back
Top Bottom