Msaada tutani nahitaji suluhu hapa

Aisee!

Hehe u wish

Wewe buana acha siasa jubu swali kama hauwezi wapishe wengine
Ningekuwa na jibu ningeuliza swali?!

We mwenzetu mbona haujibu labda shida nini?!
Ha hanha ha Mie sina makuu wote abiria wangu hao
 
Kaswali kangu kamoja tu kam utamu u nadepend vp kuhusu kubadilisha rangi especial kwa wanawake watumia cream even wanaume kwa hyo akishajichubua utamu utaisha? Ray,wema,diva wale cyo rang zao vp kuhusu hlo
 
Wema hajajichubua mbona ni cream anazopaka
Aliejichubua UK ni Zari
Afu naskia wema ni mtamu kuliko zari
Ray atajuju sijui stori yake
Diva kwakweli naomba hata nisiongee kabisaa staki kuanzisha beef na teams

tanzania ya vi wonder... jumatatu asubuh watu wanawaza utamu utamu
Boob hii topic ya jana usibu bruh! We ndo unaona sasa hivi bruh!

[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Njoo ukoment boss
 
So it means ukijichubua utamu unaisha,kuna mtu kazungumzia ishu ya kuwa mwanamke mweusi anakuw na joto pia akasem mweupe anakaharufu fulan cyo poa labda tungejua utamu unaozungumzwa unatokana kip haswa mpak mweus akaw the best kuliko mweupe
 
Mhmm!!! Naona nimepotea njia.
 
So it means ukijichubua utamu unaisha,kuna mtu kazungumzia ishu ya kuwa mwanamke mweusi anakuw na joto pia akasem mweupe anakaharufu fulan cyo poa labda tungejua utamu unaozungumzwa unatokana kip haswa mpak mweus akaw the best kuliko mweupe

Bro me nadhani wewe ni bikra kama sio mlighalugha! Nisamehe namaanisha mema
Hao walioandika hivyo mafundi babaa
 
Masuala kama aya huwa ni ya mtu usika/ binafsi, suala kama rangi, kimo, unene/wembamba kila binadamu huwa na pendekezo lake la yule anayevutiwa nae. Ingawa mtu anaweza kuwa na mtu/ mpenzi mwenye sifa tofauti kabisa ya zile zinazomvutia. Ingawa pia ni kweli mwanaume wengi huvutiwa na wanawake weupe hivi, mwenye neema za Allah au warefu kwa kimo, na pia wanawake wengi huvutiwa ziadi na wanaume warefu, weusi na mwenye misuli.
Hapa kila mtu atachangia kulingana na maona yake. Binafsi huwa natamani sana wanawake waupe, wembamba kidogo na wenye kimo cha wastani, ila yote kwa yote ni mara chache sana huwa nachagua K maana K ni K tu ukizingatia mimi sina K so y nichague chague.
 
Kwa wale wanawake ambao wameshajichubua mnawapa ushauri gani kama soko now mnaliamishia kwa bleck beauty
 
Binafsi black kwangu ndompango mzima alafu awe giant kidogo na shape ya ukweli apatutaenda sawq
 
Hizi ni myths tu, ni kama ile misemo kuwa eti wazungu(wanawake) hawana ladha, sio kweli kabisa.
 
Bro me nadhani wewe ni bikra kama sio mlighalugha! Nisamehe namaanisha mema
Hao walioandika hivyo mafundi babaa
Mhhhhh haya bhan mm c mlugaluga na c bikra and i know utamu kivp bt kutokan na mjadala wa mada datz why nikajibu hivyo
 
Bro me nadhani wewe ni bikra kama sio mlighalugha! Nisamehe namaanisha mema
Hao walioandika hivyo mafundi babaa
Na mm nshakutana na mweusi mtamu pia mweupe mtamu na vilevile mweupe kilaza na mweusi kilaza ndo maan nkaanzia mbali kidogo
 
Hizi ni myths tu, ni kama ile misemo kuwa eti wazungu(wanawake) hawana ladha, sio kweli kabisa.
aisee!
au wewe Rasta mwenzetu ndio maana unatetea wazungu?! hehehe

Binafsi black kwangu ndompango mzima alafu awe giant kidogo na shape ya ukweli apatutaenda sawq
aaah!? kama Beyonce sio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…