Hata Kikwete alilalamika,Magufuli anamuita "Mzee Kikwete, Mzee Kikwete", akasema "unataka kuninyima nini?
Nilivyosikia hivyo nikasema Kikwete muhuni sana.
Hiini kauliambayo hutolewa na wazee vijana,hususan wa Pwani, wakiamkiwa shikamoona wasichana wadogo.
Maana yake ni kwamba, Mzee akiikubali tu shikamoo, kimaadili hatakiwi kumfukuzia huyo msichana (anakuwakamabinti yake kiheshima).
Ndiyo maana wazee wa Pwani hujiwekea kinga kwa kuikataa shikamoohiyo na kusema "unataka kuninyimanini?".
Sasa nilikuwa sijasikia mwanamme kumwambiamwanamme mwenzake hivyo mpaka nilipomsikia Kikwete.