Msaada tutani: Mzee alienipenda

Dah!
Aya bana, barida!

Basi tumsaidie mdogo wetu huyu analia lia

Huyu hapa
huyu uliyem quote au huyo aliyesababisha ulete thread,ok huyo wa kibabu mwambie aendelee kuwa na msimamo alafu siku nyingine kama unafanya one night stand show ajue na jinsi ya kuachana kabisa na huyo aliyefanya nae,tatizo alimuonjesha babu game tamu sasa babu anatakana take away,ikishindikana amtume mtu mwenye makamo kama yake amwambie kuwa yule binti hataki tena maoea na wewe maana atamganda hadi akome
 
Huyu mzee inabidi akamatwe anatukwamisha kwenda kwenye uchumi wa kati na viwanda!
 
Huyu mzee inabidi akamatwe anatukwamisha kwenda kwenye uchumi wa kati na viwanda!
Ahahahaha nimecheeeka mpaka mbwa wanalia nje

nipe namba yake (huyo rafiki yako) nimpigie nijaribu bahati yangu
Ahahaha, uuuwi, una hela bro?! Rafkiangu hadate watu wasio na mchuzi!
Huna mchuzi, no excuse!

Kiru, aya boss asante
 
Ila angalia usije ukapoteza bahati! Maana inawezekana alawa malaika wachache kati ya wale waliobaki!
 
Ahahahaha. Unanikumbusha enzi za ujana wangu, nilimpa baba m1 shikamoo akaniambia binti unataka kuninyima nini?!
Hata Kikwete alilalamika,Magufuli anamuita "Mzee Kikwete, Mzee Kikwete", akasema "unataka kuninyima nini?

Nilivyosikia hivyo nikasema Kikwete muhuni sana.

Hiini kauliambayo hutolewa na wazee vijana,hususan wa Pwani, wakiamkiwa shikamoona wasichana wadogo.

Maana yake ni kwamba, Mzee akiikubali tu shikamoo, kimaadili hatakiwi kumfukuzia huyo msichana (anakuwakamabinti yake kiheshima).

Ndiyo maana wazee wa Pwani hujiwekea kinga kwa kuikataa shikamoohiyo na kusema "unataka kuninyimanini?".

Sasa nilikuwa sijasikia mwanamme kumwambiamwanamme mwenzake hivyo mpaka nilipomsikia Kikwete.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…