Msaada tutani:ma fundi dish mnaitajika hapa.

Msaada tutani:ma fundi dish mnaitajika hapa.

Ph-25

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2012
Posts
1,159
Reaction score
540
Wadau naomba mwenye uwezo wa kuconect na kuisoma satelite finder anipatie ujuzi, mana iki kifaa sikielewi kwakweli.

Shukran.
 
soma manual yake. Kama hujawahi set dish itakupa ugumu sana.
 
soma manual yake. Kama hujawahi set dish itakupa ugumu sana.

kaka tatizo linakuja wakati wa kutambua signal,mfano za azam na zuku hua zina range kwenye number ngapi na ngapi,mana hapa naona kuna number nyingi tu.
 
Back
Top Bottom