Msaada tutani kwa mwenye ufahamu

Msaada tutani kwa mwenye ufahamu

Mbishi 4 real

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Posts
640
Reaction score
657
Nimesikia kwamba watoto wanaotakiwa kuanza shule ya msingi mwakani wameanza kuandikishwa.

Naomba kwa mwenye ufahamu anitajie walau vitu vinavyohitajika ili mtoto aandikishwe na tarehe ya mwisho kuandikishwa na mwezi kama ikiwezekana.

NB:Hapa naongelea kwa shule za msingi za serikali

Asanteni kwa mtakaonisaidia
 
wenye watoto wao naona hawana msaada
 
Back
Top Bottom