ludacris86
Member
- Jul 22, 2022
- 22
- 122
Wadau naomba niende moja kwa moja kwenye mada
Kuna mtoto wa mama yangu mkubwa amenipigia simu kuwa amepata nafasi kwenye kampuni tajwa hapo juu ambayo inahusika na kutoa msaada kwa watoto yatima Africa na Asia kwa hiyo amejichanga amepungukiwa na kiasi kidogo ambacho anaomba nimsaidie...nimejaribu kui google ila information nnazopata sizielewi
Kwa maelezo yake anasema ametakiwa kutoa kiasi cha pesa cha tsh 2.3 million kwa ajili ya dhamana ya mafunzo,chakula,umeme na afya...kwa kweli I smell something fishy about this na bahati mbaya ameshatoka kijijini kuja Dar kwa ajili ya hiyo inshu..
Naombeni msaada kwa mtu anaeijua hii kampuni asije akaingizwa chaka mjini hapa