Msaada tutani: Huawei U8650-1 Touch screen problem

Papa Mopao

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2009
Posts
4,166
Reaction score
2,670
Ukitouch screen ya Huawei 8650-1 mobile phone hairespond chochote, nini solution yake?

Natanguliza shukrani wakuu!
 
Kwa msaada na ujuzi nilio nao juu ya simu km utakuwa haujaiangusha basi.
Matatizo kama hayo hujitokeza na sababu kubwa hutokana na screen diod zinazohusika na touch & screen connection
zinaweza kuwa zimefail unachotakiwa kufanya ni kubadilisha touch tu basi na mambo yanakwenda km kawida.
 

Ooh! Ahsante sana, ntajaribu kufanya hivyo
 
Uliirekebisha hiyo simu? na kama uliirekebisha ulifanyaje?

Mi nilienda kwa fundi kaniambia ni kubadili touch tu!
Nope sikuirekebisha, pia niliambiwa nibadili screen (which if i can remember alidai ilikua around 30-50K). But i ditched it, nilichukua another one. Nilichogundua ni kua hii sim ina tatizo sana kwenye screen maana you are the 3rd person i know sasa kua na hili tatizo, i don't think ni coincidence tu.
 

Okay, mi niliambiwa ni 30K kupata hiyo touch...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…