Rav4 imala na spare zinapatikana virahisi na tumia Autorec ila bei iko juu kidogo
imala - imara
Hahaa!!
unacheka nini
Njoo nyumbani basi unifundishe vizuri
Gari ngumu Rav4........kampuni beforward.jp........karibu sana
kama hukuweza kufundishwa tangu chekechea mimi sitaweza ukiwa na meno 32 yako mdomoni
Utaweza tu mambo mengi tu siyajui.
owh kumbe pole yako basi unakosa vinono
njoo basi unifundishe
Be forward ndo kampuni pekee inayonunua maghari ya bei ndogo na yalichoka zaidi kwenye minada ya magari Japan, lakini kwa hapa Bongo kutokana na uwezo mdogo kifedha inabidi tuwakimbilie wao kutokana na bei zao.
Kwa hiyo mkuu unashauri nitafute kampuni nyingine Nataka gari yenye mileage isiyozidi 70 elfu na ambayo ipo ktk hali nzuri,budget yangu haizidi $6000 nitapata
Kwa amount hiyo utapata gari nzuri tu, hata hao Be Forward wanazo hata za chini ya hiyo mileage lakini conditions ya gari zao ni poor kulingwnisha na kampuni nyingine. Zipo kampuni km SBT, CAR TRADE VIEW, AUTOREC na nyinginezo, hawa wote wana ofisi Dar, just try them bro!