Msaada tutani: Bafu langu!

Msaada tutani: Bafu langu!

Unapata faida gani kuweka picha inayoonyesha uchafu?

Kumbuka watu tunaotumia app ya JF tunaona hiyo picha hata bila kufungua uzi.

Kuwa mstaarabu jirekebishe.
Kwahiyo ulitaka nidanganye au? JF ndo sehemu pekee tunayothubutu kuongea ukweli hata kama utakuumiza
 
Kuna vitu vingine sie tusharidhika kutovipata....yan bafu ya hapa nyumban iko na foleni na usiombe uchelewe kuamka utakuta hadi makohoz.....mlango ni bati unaegesha ukidondosha sabuni kama mgeni hutoiyokota ama utaanza kuiogesha sabuni kwanza ndio ikuogeshe ila mimi naokotaga mana nihasara mazee
 
Umeweka picha ya choo kichafu ndiyo unaona unasema ukweli?

Picha uliyoweka bila shaka inawakilisha yaliyomo mawazoni mwako.

I don't want to sound rude..but you need to consult your doctor ASAP.
 
Sekunde moja unasema hutaki kuwa rude...sekunde inayofuata unatoa maneno opposite na hiyo sentensi ya kwanza....i think YOU need to consult your therapist NOW
 
Unapata faida gani kuweka picha inayoonyesha uchafu?

Kumbuka watu tunaotumia app ya JF tunaona hiyo picha hata bila kufungua uzi.

Kuwa mstaarabu jirekebishe.
Mmmh acha uongo wewee
 
Sekunde moja unasema hutaki kuwa rude...sekunde inayofuata unatoa maneno opposite na hiyo sentensi ya kwanza....i think YOU need to consult your therapist NOW
Are you high on drugs or something?

I've offered a piece of advise....it's for you to take it or simply ignore it.
 
Maelezo yako yamenifurahisha ila nimekereka hapo kwenye MWE MWE MWEE...!!Huwa nakereka mtu akiandika ivo
Mweee polee

Ila umenifurahisha hapo uliposema ile harufu nzuri ilikufanya ukatamani mtu aingie humo bafuni hata kwa bahati mbaya aje akushughulikie.
Ahahahaha uraya uraya!

Sekunde moja unasema hutaki kuwa rude...sekunde inayofuata unatoa maneno opposite na hiyo sentensi ya kwanza....i think YOU need to consult your therapist NOW
Ahahaha nimechekaaa.. therapist bongooo?!
 
Kuna vitu vingine sie tusharidhika kutovipata....yan bafu ya hapa nyumban iko na foleni na usiombe uchelewe kuamka utakuta hadi makohoz.....mlango ni bati unaegesha ukidondosha sabuni kama mgeni hutoiyokota ama utaanza kuiogesha sabuni kwanza ndio ikuogeshe ila mimi naokotaga mana nihasara mazee
Ahahahahha nimechweeeka kuliko maelezo
Uuuuwi pole jaman rafiki
 
Kuwa unaona picha hata kama haujaja kwa my thread sio kweli
Siwezi kudanganya

Kama unatumia app ya JF unaweza kuona picha (si picha zote) hata kama hujafungua uzi husika.

Jaribu kupitia sehemu ya NEW POSTS utaona baadhi ya picha zinaonekana kwenye thread mbalimbali
f82eaba6493661bfff06040c97e7c57b.jpg
 
AYa boss me sijadownload app ya jf ndo maana
 
Hey~lo!

Sorry nimekuwa kimya naumwaaa shetani ashindww hataki me nisonge mbele na entertainment! Shindwa shetani wa magonjwa shindwaa!

Skumoja nipo na baby~sit watoto wq dadangu, hehe

Walipoenda kulala, shemeji alikuwa amesafiri, dada akachelewa kurudi from work ikabidi nilale pale

Kulipokucha nikaenda kuomba sabuni niog, nikaambiwa njoo uogee huku kwangu, mjeda nikadondoka master bathroom!

Kuingia mwe mwe mwe! Yani huko kuna shower gell mpaka ya miguuu

1. Shower gel ya kuanza kuoga baada ya kujimwagia maji

2. Cream shower gel ukishamaliza kutumia shower gel 1, inanukia hiyooo

3. Scrub shower gel kama unaona mwili wako unamikunjo kunjo hauna network umepoteza mawasiliano una scrubia sasa iyo ili ukae sawa

4. Foot shower gell kwa ajili ya kusugua miguuu tuuu

5. Bado sabuni za usoooo, facial scrubs, liquid soap, mweee
Utadhani nipo 6star bathroom

6. Zile ndude zile za kujisugulia zile kamba za kusugua mwili zile nzuri nzuri sijui sponge ya kuogea mwe kila rangi zimepangwaaa

7. Tisa kumi kuna meza nje ya shower place imejazqa Perfumes za kila aina, deodorants za kila aina gademit jaman nilijua haya mambo uraya uraya kumbe na bongo vepee!

Me nikijiangalia bafu langu kuna dodoki, na jiwe la kariakoo pale sokoni lile jeusi la kujisugua mgongoni, kuna sabuni ya mche mbuni kama sio alovera za kariakoo, nimemalizaaa... mmh umaskini jaman sheedah!

Nikatoka pale staki kutokaaa maji ya motoooo, natamani nilale bafuni kunanukia kama umande wa Mbinguni, mwe bafu bafu kweli hata ukisema unapigwa miti pale unafungua uchi woteee kama unazaaa gademit

Embu nambieni wana JF nyie mabafu yenu yapoje, au ndo mende na panya wanawachungulia kwa chini?! Au bafu ndo choo kama uswahilini kwetu?! Uuuwiii

Mabafu yenu classic au mende bafu?!
mje mshamba_hachekwi Cr wa familia
 
Hahahahah
 
Back
Top Bottom