Msaada: Tumetapeliwa!

Vibaka wana akili hiyo?...sema sisi wabongo vitu vingi tunapotezea tu ila hata Bank mtu akitoa hela position/location inaonekana vizuri tu
 
Ni kweli na ndio maana mtu yeyote anayefanya uhalifu unaohusisha electronic devices itambidi awe mzuri kwenye computer networks.
.
Alafu kila kukicha mbinu mpya za kufanya uhalifu kimtandao zinaongezeka, hizi tracing hazisumbui kabisa wajanja.
 
Vibaka wana akili hiyo?...sema sisi wabongo vitu vingi tunapotezea tu ila hata Bank mtu akitoa hela position/location inaonekana vizuri tu
Boss tufanye ni kweli huyu wakala kaiba fedha za huyo mwanamke nakufanya hayo yote mengine unahisi ni mtu mwenye uwezo mdogo? Kuna mtu na degree au masters yake ya IT, CS au CE anaweza fanya hilo?
 
Pin mke wako ametoa kwa namna moja ama ingine ila kukwambia anashindwa anajua kifuatacho.
Uwongo 6:10
watakaokataa ukweli hadi mwisho wataaminika
 
Ngoja nirudie NILICHOJIFUNZA KWA KUPITIA COMMENTS ZA WAKURUNGWA kwa sauti ili nijue kama nimeeewa:

1. 'Kaka wakala' alifanikiwa kupata PASSWORD toka kwa mkeo. (Wapwa wametaja namna ambazo mtu anaweza ku-access password)
2. Akavuruga 'APN' kiasi ambacho ikawa haiwezi ku-support Apps ku-function.
3. Aka-set 'CALL BARRING' ili mkeo asiweze ku-dial menu ya SIMBANKING.
4. Hatimaye akachomoa mpunga.

Si ndo mlisema wajuba au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…