msaada:TTCL vacancy deadline

msaada:TTCL vacancy deadline

  • Thread starter Thread starter guest-1790917349
  • Start date Start date
G

guest-1790917349

Guest
habari wana jf!
Naomba anaejua deadline ya nafasi za kazi zilizotangazwa TTCL.
Kwa yyte mwny detail
 
Deadline ni Jumanne tarehe 25 Juni 2013 saa 10.30 jioni
 
thanx...ss mbona ukiingia kwenye website yao,kuna tangazo la 'No vacancy currently'?
na unatakiwa utume online?inakuaje
 
uwa wanafanya kaz kuanzia saa 2 ad sa kum na nusu, so watakiwa uapply ndan ya mda ùo.
 
Back
Top Bottom