MSAADA -TRA na LESENI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MSAADA -TRA na LESENI

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by newmzalendo, Oct 3, 2011.

1. newmzalendo

newmzalendo JF-Expert Member

#1
Oct 3, 2011
Joined: Mar 23, 2009
Messages: 1,359
Likes Received: 65
Trophy Points: 145
Nimesajili kampuni kuwa LTD.
nahitaji
1.TIN registration
2.Leseni ya biashara
location ni wilaya ya kinondoni.
huitaji wangu ni wa haraka kidogo,within 4 days.
naomba maelekezo jinsi ya kupata vitu hivyo na ikiwezekana reference kwa mtu atakayeweza kurahisisha maisha ktk hili swala

2. M

Mopalmo JF-Expert Member

#2
Oct 4, 2011
Joined: Nov 11, 2010
Messages: 456
Likes Received: 0
Trophy Points: 33
Jizo unazipata ndan ya muda huo anzia tra halafu ukupata tin ndio uende nayo ofisi za manispaa kwa ajili ya leseni

3. Mihayo

Mihayo JF-Expert Member

#3
Oct 4, 2011
Joined: Apr 12, 2010
Messages: 270
Likes Received: 9
Trophy Points: 35
Huhutaji usaidizi kwa hili wewe nenda TRA Jaza ombi la TIN then wape kesho yake utapata you are tin no. Thereafter inategemeana na aina ya biashara. Biashara ndogondogo nenda Kinondoni Municipal but if ni biashara kubwa nenda Wizara ya Viwanda na biashara unaipata the same day. TRA Usually wana weza kukubana ohoo lipa provision tax wakatalie wambie kodi hulipwa ikiwa ni ziada ya capital na expenses, hivyo yawezekana usipate faida mwaka wa kwanza hivyo hutakiwi kulipa kodi. Wakikuletea usumbufu waone walio juu yao.

4. Bigirita

Bigirita JF-Expert Member

#4
Oct 4, 2011
Joined: Feb 12, 2007
Messages: 13,976
Likes Received: 689
Trophy Points: 280
Mkuu, nadhani umemsaidia vizuri sana.
Kitu cha msingi ni kwamba yeyote atakayeonyesha kumsumbua au kumpa masharti magumu aende kwa mtu wa juu yake. Very simple, ukiwa mkali na kuonyesha kuwa unazijua taratbu hakuna atakae kusumbua, sio tra wala manispaa.

5. M-pesa

M-pesa JF-Expert Member

#5
Oct 4, 2011
Joined: Sep 4, 2011
Messages: 605
Likes Received: 11
Trophy Points: 0
Hapa TRA ndo huwa wanakuwa wanakosea, maana unaambiwa ulipe kodi hata biashara haijaanza. Kwa mwendo huu tutakuza ujasiriamali kweli?

6. M-pesa

M-pesa JF-Expert Member

#6
Oct 4, 2011
Joined: Sep 4, 2011
Messages: 605
Likes Received: 11
Trophy Points: 0
Hongera sana man!

ile issue bado nafuatilia....ikiwa poa nitakufahamisha.

7. Bida

Bida Member

#7
Oct 4, 2011
Joined: Aug 11, 2011
Messages: 18
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Kimsing TRA ni chanzo cha kukosekana kwa mapato. Ni rahisi kupata TIN lakini mchakato wa makadirio ya mapato unatisha kiasi kwamba unaanza kujiuliza kama unaanza kulipa fedha nyingi mwaka wa kwanza wakati biashara inafikirika, je miaka ijayo itakuwaje? Nakushauri ufuatilie taratibu za kupata TIN siyo ngumu ila hakikisha uingizwi choo cha kike kama wewe ni MR.
Bye

8. Bida

Bida Member

#8
Oct 4, 2011
Joined: Aug 11, 2011
Messages: 18
Likes Received: 0
Trophy Points: 0

Kimsing TRA ni chanzo cha kukosekana kwa mapato. Ni rahisi kupata TIN lakini mchakato wa makadirio ya mapato unatisha kiasi kwamba unaanza kujiuliza kama unaanza kulipa fedha nyingi mwaka wa kwanza wakati biashara inafikirika, je miaka ijayo itakuwaje? Nakushauri ufuatilie taratibu za kupata TIN siyo ngumu ila hakikisha uingizwi choo cha kike kama wewe ni MR.
Bye

9. RealMan

RealMan JF-Expert Member

#9
Oct 4, 2011
Joined: Nov 9, 2010
Messages: 2,352
Likes Received: 160
Trophy Points: 160
Ili upate TIN kwa ajili ya Kampuni ulosajili, TRA watahitaji kivuli cha nyaraka zifuatazo.

1. cheti cha usajili (cert of Incorporation)
2. Memorandum & Articles of Association
3. mkataba wa pango, kama jengo la biashara si la kwako
4. Picha 2 za wakurugenzi na maelezo yao
5. Inakupasa wewe ama wakurugenzi kwenda physically TRA kwa ajili ya kupiga picha na kuchua alama za vidole.

Utakutana na Tax officer ambaye atakusaili kujua aina ya biashara na faida tarajiwa (provisional tax). Unatakiwa kuwa mwerevu kidogo maana wao wamefunzwa kukamua kodi. Sina hakika lakini nadhani wanapaswa kukupa miezi 6 kabla hujaanza kulipa kodi - wataalam watasema.

Ukienda mapema utaipata same day.

Kwenye leseni watahitaji nyaraka sawa na hapo juu 1 - 3 pamoja na TIN.
Kama biashara yako inahitaji taaluma fulani watahitaji cheti cha moja ya wakurugenzi.

Karibu kwenye ulimwengu wa wajasiriamali.

1. copy ya

10. Voice of Wisdom

Voice of Wisdom JF-Expert Member

#10
Oct 4, 2011
Joined: Oct 4, 2011
Messages: 541
Likes Received: 23
Trophy Points: 35
upo sahihi mkuu, na labda niwafahamishe jambo jingine kwamba hyo TIN hususani ya biashara (namaanisha kuna TIN ya matumizi ya kawaida na ya biashara.) hupewi mpaka umefanyiwa makadirio na ofisa wa TRA hvyo wakati unarudisha hyo form ya maombi ya TIN na viambatanishi vilivyotajwa hapa juu na mtoa mada aliyetangulia ni lazima uwe una form ya makadirio ya kodi.
baada ya kupata tin na processed estmated tax payable itakubidi ulipe instalment ya kpindi husika na hyo risiti ya malipo ya kodi ya mapato uliyolipa utakwenda nayo kama kithibitisho ili upate lesseni.

11. mmbangifingi

mmbangifingi JF-Expert Member

#11
Oct 4, 2011
Joined: Mar 9, 2011
Messages: 2,855
Likes Received: 23
Trophy Points: 135
Hongera kwa kufungua kampuni mkuu, ila kwa procces za tin na leseni pamoja na maelezo m,engi ambayo wadau wameyatoa tegemea kukumbana na vikwazo vya hapa na pale visivo kichwa wala miguu, kila mtumishi utakayemkuta kwa desk lazima akuzingue kimtindo. but go plz go! ujasiriamali dili sana

12. newmzalendo

newmzalendo JF-Expert Member

#12
Oct 5, 2011
Joined: Mar 23, 2009
Messages: 1,359
Likes Received: 65
Trophy Points: 145
Asanteni Sana.ila hii point imenivutia ,TRA Usually wana weza kukubana ohoo lipa provision tax wakatalie wambie kodi hulipwa ikiwa ni ziada ya capital na expenses, hivyo yawezekana usipate faida mwaka wa kwanza hivyo hutakiwi kulipa kodi. Wakikuletea usumbufu waone walio juu yao.

TRA wanataka nilipe Provisional Tax,wakati sijapata hata mteja mmoja ,Hivi provisional Tax,inabidi iwe sehemu ya Capital yangu sasa ktk biashara hii :(

13. newmzalendo

newmzalendo JF-Expert Member

#13
Oct 5, 2011
Joined: Mar 23, 2009
Messages: 1,359
Likes Received: 65
Trophy Points: 145
Loading...